CAFCL updates ya kinachoendelea kwenye michezo mitatu

Hivi hili soka la Africa la kumulikana usoni mamlaka za mpira haziwezi kuzuia? Huu ni ujinga mkubwa sana.Ndo maana wazungu wanatudharau
 
Hivi kumbe hii VAR huwa inabagua kwenye uamuzi? Kwanini goli la Esperance leo lionekane ni la offside huku lile la Mamelodi kule SA lilionekana ni goli halali? Ipi ilikuwa ni offside ya wazi kati ya goli lililokubaliwa la Peter Shalulile na hili la Esperance?
 
Wanaosimamia VAR ni wanadamu ndugu
 
Hivi kumbe hii VAR huwa inabagua kwenye uamuzi? Kwanini goli la Esperance leo lionekane ni la offside huku lile la Mamelodi kule SA lilionekana ni goli halali? Ipi ilikuwa ni offside ya wazi kati ya goli lililokubaliwa la Peter Shalulile na hili la Esperance?

Mamelodi huwa anapendelewa sababu Rais wa Caf ndie mmiliki wa mamelodi
 
Umesema kweli Kiongozi. Mamelodi ilibebwa mbele ya Yanga. Wiki iliyopita ilibebwa kwa goli la offside la Peter Shalulile. Leo nao wamefungwa goli la offside na Esperance limekataliwa, ingekuwa ni Mamelodi ndo wamefunga lingekubaliwa.
 
Usiku wa ulaya kwa leo imeisha kwa surprise, ngoja turudi huku sasa. Niliona kwenye sofa score kuwa ES Tunis anaongoza, saizi naon 0 0 inekuwaje?
As Far nao kumbe sio wa mchezo, walifanya uzembe tu game ya kwanza. Saizi wanatafute goli la 3 ili wazonge mbele
 
VAR ilikataa goli la esperence ilisema offside
 
Kwa nini mechi ya kwanza ya Al Ahly na Al Hilal ilikuwa Misri wakati katika ranking, Al Ahly yupo juu na amekuwa juu kuliko Al Hilal?
 
Back
Top Bottom