PostGE2025 CAF waandika: Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi, picha ya Msuva akishangilia goli

PostGE2025 CAF waandika: Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi, picha ya Msuva akishangilia goli

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeibua gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha ya nyota wa soka Msuva akishangilia bao, ikiambatana na maneno "Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi."
IMG_0440.jpeg

Kauli hiyo ilitolewa na Samia wakati wa kampeni, alipokuwa akionya waandamanaji Oktoba 29, 2025, tukio ambalo baadaye lilihusishwa na hatua za kisheria dhidi ya baadhi ya raia, akiwemo Niffer, waliodaiwa kushitakiwa kwa tuhuma za uhaini.

Soma: Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

1767351441790.png

Akiwa kwenye Kampeni, Zanzibar, Septemba 20, alisema "Mimi Ndiye amiri jeshi mkuu nayesema hapa, hakutakuwa na nywinywi, Wala nywinywinywi"
 
Hiyo siku haipo mkuu mpaka astafu 2035
Mkuu inawezekana ushabiki unakusumbua au umeamua kuandika tu,katiba mbona iko wazi ikiwa rais ataingia madarakani kwa kurithi kama alivyorithi Samia the Butcher kwa zaidi ya miaka minne,itahesabika muhula Mmoja na hivyo atagombea muhura Mmoja tu kama alivyofanya kwa kujitangazia ushindi.

Lakini kama angerithi chini ya miaka miwili,hiyo temu ya 2 years isingehesabika na angeruhusiwa kupora na kuua watanganyika zaidi mwaka 2030-2035 ila kwa sasa kakamilisha matakwa ya katiba.

Tuje kwenye suala la ICC, nikushauri ujiepushe na ushabiki maandazi ,inakupasa kuwa reasonable sana unapoongelea mambo yenye tija kwa taifa.

Samia lazima atfikiswa mahakamani kama kawaida,na kwa sasa mchakato wa kesi uko hapa:
kesi dhidi ya viongozi wa Tanzania katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) iko katika hatua ya awali ya uchunguzi, baada ya ombi rasmi kuwasilishwa Novemba 2025 na kundi la wanasheria na mashirika ya haki za binadamu.

- Chanzo cha kesi: Mnamo tarehe 13 Novemba 2025, kundi la wanasheria wa kimataifa na mashirika ya haki za binadamu liliwasilisha ombi rasmi kwa ICC likiituhumu serikali ya Tanzania, likiwemo jina la Rais Samia Suluhu Hassan na wakuu wa vyombo vya usalama, kwa madai ya uhalifu dhidi ya binadamu kufuatia matukio ya vurugu na vifo wakati wa uchaguzi mkuu wa 2025.

- Uanachama wa Tanzania katika ICC: Tanzania ni mwanachama halali wa ICC tangu iliposaini na kuridhia Mkataba wa Roma mwaka 2002, hivyo ICC ina mamlaka ya kisheria kuchunguza na kushughulikia uhalifu mkubwa unaotokea ndani ya mipaka ya Tanzania au unaohusisha raia wake.

- Hatua ya sasa ya kesi: Kwa mujibu wa taarifa zilizopo hadi Desemba 2025:
- Kesi imepokelewa rasmi na ICC.
- Uchunguzi wa awali unaendelea kwa siri (preliminary examination).
- Hakuna hati za kukamatwa zilizotangazwa hadharani hadi sasa.
- Vyombo vya habari vya Tanzania bado havijaripoti kwa kina kuhusu maendeleo ya kesi hii.

Acha ushabiki wa ajabu,Samia hatunae Tena,na utawala wake utakoma mwaka huu,mark my words
 
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeibua gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha ya nyota wa soka Msuva akishangilia bao, ikiambatana na maneno "Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi."
View attachment 3524026
Kauli hiyo ilitolewa na Samia wakati wa kampeni, alipokuwa akionya waandamanaji Oktoba 29, 2025, tukio ambalo baadaye lilihusishwa na hatua za kisheria dhidi ya baadhi ya raia, akiwemo Niffer, waliodaiwa kushitakiwa kwa tuhuma za uhaini.

Soma: Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

View attachment 3524029
Akiwa kwenye Kampeni, Zanzibar, Septemba 20, alisema "Mimi Ndiye amiri jeshi mkuu nayesema hapa, hakutakuwa na nywinywi, Wala nywinywinywi"

Itoshe kusema MUNGU usikie kuomba kwetu sisi watanganyika ambao Ndugu zetu waliuliwa na huyu Shetani - The Butcher punzi yake anayoipumua ukaikatishe mara Moja ndani ya mwezi huu huu wa Januari ndani ya Mwaka huu wa 2026.

Bila kumsahau na Mafwele nae punzi yake ukaikatishe mara Moja.

MUNGU usikie kuomba kwetu.

Amen
 
Back
Top Bottom