CAF opened an investigation against the Simba

Hii habari wanachochea wacongo wenyewe kwenye account yao ya Facebook lakini Hiyo account haijawa verified,Inaitwa Sport Africa Today. Hawa ndo wanasambaza hizi habari mitandaoni.Hakuna kwingine utakazozipata habari hizi tofauti ni account ndo wa kwanza kabisa kuchochea but CHUKI tu zinawafanya hivyo.
 
Kuna mechi Simba walicheza away huko Swaziland Haji Manara aka posti kwamba alikua ana linda changing room wasipulize dawa leo hii wao wana tuhumiwa na hii tabia, anyway acha tuone yata kwenda vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli kabisa kwenye akili yako unafikiri Simba walipuliza sumu? Zahera katusaidia Sana Wana Simba tumshukuru kwani kawatoa mchezoni wacongo wenzake...Simba hawana ujanja wakupuliza sumu vyumba ni labda useme walichoma udi katika vyumba vya kubadirishia nguo ambazo hizo ni Zile Tamaduni zetu za Waafrica katika swala la kutiana hofu Kama unavyoiona picha zingine zinaonyesha Kiongozi was As Vita anasaidia kumwagia uwanja na kufikia nyasi...hiyo sumu haiwezi ikathibitishwa kwenye maabara yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app

You are jumping to conclusion katika andiko lako...soma vizuri andiko langu utaelewa...Acha lugha ya kejeli katika mijadala hutapungukiwa na lolote...acha kuandika katika 'akili yako' ..hii ni lugha ya kejeli na dharau...Kama watakuja na kuchunguza na kuona hamna lolote it is well and good...tunaombea iwe hivyo, wasikute chochote...Lakini kwamba wamekuja kuchunguza is something else..ni doa...ukituhumiwa kuwa wewe ni mwizi na wakati siyo tayari umechafuliwa.na siyo Simba ni nchi....Sijui kwanini watu mnakuwa na jazba katika kulijadili suala hili..tulieni na chambueni mambo au issues...Hata hilo kuhusu Zahera sijui amefanya hiki na kile halina ushahidi...Watanzania huwa hatutulii katika kufuatilia issues...tumejaa malalamiko...Mimi nimeandika hiki wewe unanilisha hoja ...siyo sahihi....You have to be sober in your arguments...usigubikwe na mihemuko na biases.
 
Back
Top Bottom