CAF opened an investigation against the Simba

Said S Yande

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
874
637
CAF opened an investigationI Against simba.
watani kunani huko kwenu mbona mnachunguzwa
 

Attachments

  • Screenshot_20190322-073218.png
    Screenshot_20190322-073218.png
    62.7 KB · Views: 40
Halafu, kwa nini makamisaa wasiambiwe kabla ya mechi ili wachukue ushahidi,badala yake mechi ikiisha ndio wanajilaza na kujipiga picha? Halafu walibadilishia nguo kwenye corridor na bado wanadai sumu, sasa mbona corrido hilo ndio njia ya kupita, kama kuna sumu hata Simba wachezaji wake wangelewa? Wanaweweseka hao
 
Sijui kama kweli wamempeleka hizo tuhuma, hila hii si yakuchekea japo watu wanaona kawaida tu maana hata kwenye ligi ya nyumbani kuna timu zikija Taifa kucheza na timu inayotuhumiwa wanagoma wachezaji wao kuingia vyumbani
 
etiw amewekewa sumu wakafungwa mbili ni superhumans wale?hadi maji yao jamani?ina maana simba waliwapa maji ya kunywa?walivyojilaza kwenye corridor na zile mask kama yuke kipa utasema anakufa alivyojinyoosha,yanga na zahera waliwaua kisaikolojia kabla ya mechi.
 
kuna kauli ilitolewa na msemaji wa vyura kuwa Simba huwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya kubadirishia nguo cha ajabu TFF hawakuchukua hatua yoyote ya kumhoji kwanini anapayuka vitu bila kuwa na ushahidi haya yanaweza kuwa matokeo yake
 
kuna kauli ilitolewa na msemaji wa vyura kuwa Simba huwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya kubadirishia nguo cha ajabu TFF hawakuchukua hatua yoyote ya kumhoji kwanini anapayuka vitu bila kuwa na ushahidi haya yanaweza kuwa matokeo yake
ndiyop madhara yake hayo si zahera ndiye aliwaambia waje na mask,wakakataa basi walilopewa na simba wakakodi coaster sasa awanadai maji yalikuwa na sumu ina maana walikataa basi wakakubali kupewa maji ya kunywa na simba au yalitoka kiwandani yakiwa na sumu?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
simba muwe makini maana hadi timu za ligi yetu zinalalamikia hili.. wakiongozwa na yanga..

akisema mmoja ni uongo... ila wakisema wengi inaleta maswali ?
 
Wala makombo ni wazoefu kwenda CAF/FIFA kushitaki. Wakisikia wanashitakiwa wao wanang'aka mno.
 
Back
Top Bottom