The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,396
- 1,784
Simba ikiingia katika mashindano ya kimataifa kama club bingwa Africa timu lazima ipambane na moja ya club zifuatazo katika hatua za awali kabisa: Enyimba-Nigeria, Zamalek-Misri, El-Ahly-Misri, Ismaily-Misri, Haras El Hadood-Misri, El Ahli-North Sudan, El Merreikh-North Sudan, Étoile Sportive du Sahel-Tunisia, Espérance Sportive de Tunis-Tunisia, TP Mazembe-DRC, Liboro-Angola n.k.
Hizi zote zinafufuka Simba inapokuwa kwenye mashindano ya kimataifa maana utakuta round ya kwanza au ya pili lazima Simba ionane na hiyo miziki ya Charanga charanga.
Yanga utasikia Juzi ipo Comoro, jana Madagascar, Mauritius leo Rwanda na safari inaishia hapo.
Hivi ni kuwa Yanga ina bahati nzuri sana na Simba ina bahati mbaya sana...au kuna nini hapo.
Mimi ni Yanga ila nataka kuona mechi zinazofurahisha iwapo Simba ni mshiriki.Simba chukua kombe ligi kuu uzilete TP Mazembe, Espérence, Zamalek n.k hawa wakina APR na Comoro wanatushushia heshima.