ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,414
- 5,279
Team kutoka Kaskazini mwa Africa. Zimekuwa zikifika uhuni mwingi ili kupata matokeo changa kwenye michezo yao. Uhuni huo sio uungwana kwenye football. Lakini utashangaa jinsi CAF wanavyokaa kimya bila kutoa adhabu yoyote ili kukomesha huu uhuni.
Tujikumbushe namba fainali kati ya Young Africans na USM Alger ilivyoharibiwa a mbinu chafu na za kihuni. Wanatumia ball boys kupoteza muda. Kutumia tochi kumulika wachezaji wa team pinzani.
Wanatumia watu wa huduma ya kwanza na matabibu wa team kupoteza muda.
Kujiangusha ovyo uwanjani.
Kuhonga waamuzi na matendo mengine mabaya.
Tujikumbushe pia uhuni kati ya mechi ya Al Ahly vs Al Hilal
Simba vs Wydad
Simba vs Raja
CAF wawajibishe warabu na uhuni na dhuluma zao katika football
Ama kweli warabu ni watu wenye tamaduni za ovyo ni watu ovyo ovyo tu. Mungu awasaidie ustaarabu na utu uwafikie waarabu