Yale yale ya mashabiki wangapi wanaweza enda Zanzibar toka Bara kuangalia marudiano!?Mazingira ya Africa ndio yanasababisha waweke hivyo... Uliweka fainali moja Neutral venue, hautapata hata mashabiki... Hakutakuwa na usawa kabisa... Miundombinu na Usafiri kwa mashabiki kuhudhuria fainali tatizo pia... Mfano watanzania wangapi wanaweza kusafiri kwenda Morocco kusapoti timu?? Tusilinganishe Africa na Ulaya.
Simba Bingwa....Final(Mwisho) au tamati hivi kwa Afrika neno Hili limegeuzwa nyuma mbele mbele nyuma Why?kila kitu kwetu ni tatizo?
Leo Mada ingelikuwa Moja tu,ila kwa upuuzi wa CAF tunasubirishwa untill next week.
Shame on you
Kwa Mazingira ya Africa fainali mbili ni sahihi kabisahapana,inapunguza vibe la Ubingwa.
Leo tungekuwa tunaamka na habari moja tu.