Tetesi: CAF imerudisha fainali kwa Mkapa

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,246
Reaction score
7,112
Simba imefanikiwa kuzima njama za kuhamishia Amani mchezo wa fainali badala ya Kwa Mkapa.
CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa. Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa.

Clecentius Magoli apewe Maua yake Kwa kujibu kwa nguvu njama hizo na hatimae uongozi wa CAF kuogopa na kuurudisha mchezo huo kwa Mkapa.

Ukisikia Simba ya Kimataifa ndio hii,Simba imekomaa mno,Simba ni kubwa mno,Simba haijaweza kutolewa mchezoni.

Huu nao ni ushindi mwingine Kwa Simba. Figisu nyingi zitakuja nazo zitazimwa..

Mwishoni mwa barua ya Magori aliandika tunajua nani Yuko nyuma ya hili, hapa akimwelekezea kidole Rais wa RS Berkane kua ndio amechonga fitina hizo,ambae poa ni makamu Rais wa CAF.

CAF wamelegea naechi ni Kwa Mkapa.

Hata hivyo Simba ni wakomavu sana hawakua na munkari pale waliposema wao wanafokasi na mchezo wa kwanza ,mambo ya uwanja watazungumzia baada ya mchezo wa Morocco.

Vurugu hizi zote inaonesha Berkane wameiogopa Simba na wanapaogopa kwa Mkapa.
Kwa kifupi Berkane atachinjiwa hapo,kwa Mkapa hatoki.
 
CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa.
Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa.

Huu nao ni ushindi mwingine Kwa Simba.
Figisu nyingi zitakuja nazo zitazimwa..

CAF ya Uyole wameihamishia Fainali uwanja wa KK au ukipenda uite soko la ndizi hapa Tukuyu.

Karibuni sana wana Lunyasi uwanja wa KK. KK HATOKI MTU.
 
Simba imefanikiwa kuzima njama za kuhamishia Amani mchezo wa fainali badala ya Kwa Mkapa.
CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa.
Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa.
Clecentius Magoli apewe Maua yake Kwa kujibu kwa nguvu njama hizo na hatimae uongozi wa CAF kuogopa na kuurudisha mchezo huo kwa Mkapa.
Ukisikia Simba ya Kimataifa ndio hii,Simba imekomaa mno,Simba ni kubwa mno,Simba haijaweza kutolewa mchezoni.
Huu nao ni ushindi mwingine Kwa Simba.
Figisu nyingi zitakuja nazo zitazimwa..
Mwishoni mwa barua ya Magori aliandika tunajua nani Yuko nyuma ya hili, hapa akimwelekezea kidole Rais wa RS Berkane kua ndio amechonga fitina hizo,ambae poa ni makamu Rais wa CAF.
CAF wamelegea naechi ni Kwa Mkapa.

Hata hivyo Simba ni wakomavu sana hawakua na munkari pale waliposema wao wanafokasi na mchezo wa kwanza ,mambo ya uwanja watazungumzia baada ya mchezo wa Morocco.

Vurugu hizi zote inaonesha Berkane wameiogopa Simba na wanapaogopa kwa Mkapa.
Kwa kifupi Berkane atachinjiwa hapo,kwa Mkapa hatoki.
Sasa mbona hujaambatisha na rejea yoyote
 
CUF ya lipumba hai husiki na kupanga mchezo ufanyike uwanja gani.
Tafadhari usisababishe taharuki isiyo na sababu
 
Simba imefanikiwa kuzima njama za kuhamishia Amani mchezo wa fainali badala ya Kwa Mkapa.
CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa.
Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa.
Clecentius Magoli apewe Maua yake Kwa kujibu kwa nguvu njama hizo na hatimae uongozi wa CAF kuogopa na kuurudisha mchezo huo kwa Mkapa.
Ukisikia Simba ya Kimataifa ndio hii,Simba imekomaa mno,Simba ni kubwa mno,Simba haijaweza kutolewa mchezoni.
Huu nao ni ushindi mwingine Kwa Simba.
Figisu nyingi zitakuja nazo zitazimwa..
Mwishoni mwa barua ya Magori aliandika tunajua nani Yuko nyuma ya hili, hapa akimwelekezea kidole Rais wa RS Berkane kua ndio amechonga fitina hizo,ambae poa ni makamu Rais wa CAF.
CAF wamelegea naechi ni Kwa Mkapa.

Hata hivyo Simba ni wakomavu sana hawakua na munkari pale waliposema wao wanafokasi na mchezo wa kwanza ,mambo ya uwanja watazungumzia baada ya mchezo wa Morocco.

Vurugu hizi zote inaonesha Berkane wameiogopa Simba na wanapaogopa kwa Mkapa.
Kwa kifupi Berkane atachinjiwa hapo,kwa Mkapa hatoki.
uongo wa nini?
 
Sio berkane tu hata baadhi ya watanzania hawataki fainali ichezwe uwanja huo ..hizi ndio athari za kua maskin. Unakua na chuki hata kwa vitu ambavyo ni vidogo mno.
Kwa hiyo kwa sababu ni Watanzania, basi unatutaka tuunge mkono hata mambo ya kipuuzi! Huko kutakuws ni kukengeuka bipa shaka.

Kwa mfano huo uwanja ungekuwa hauna shida ya kugeuka jaruba la mpunga mra tu mvua inaponyesha (na ushahidi uko wazi kabisa)! Unafikiri ni nani angeponda, au kuunga mkono hilo zoezi la kuhamishia mechi Zanzibar?
 
Kelele za mipira pelekeni zanzibar. Tupo bize na mambo ya msingi
 
Simba imefanikiwa kuzima njama za kuhamishia Amani mchezo wa fainali badala ya Kwa Mkapa.
CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa.
Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa.
Clecentius Magoli apewe Maua yake Kwa kujibu kwa nguvu njama hizo na hatimae uongozi wa CAF kuogopa na kuurudisha mchezo huo kwa Mkapa.
Ukisikia Simba ya Kimataifa ndio hii,Simba imekomaa mno,Simba ni kubwa mno,Simba haijaweza kutolewa mchezoni.
Huu nao ni ushindi mwingine Kwa Simba.
Figisu nyingi zitakuja nazo zitazimwa..
Mwishoni mwa barua ya Magori aliandika tunajua nani Yuko nyuma ya hili, hapa akimwelekezea kidole Rais wa RS Berkane kua ndio amechonga fitina hizo,ambae poa ni makamu Rais wa CAF.
CAF wamelegea naechi ni Kwa Mkapa.

Hata hivyo Simba ni wakomavu sana hawakua na munkari pale waliposema wao wanafokasi na mchezo wa kwanza ,mambo ya uwanja watazungumzia baada ya mchezo wa Morocco.

Vurugu hizi zote inaonesha Berkane wameiogopa Simba na wanapaogopa kwa Mkapa.
Kwa kifupi Berkane atachinjiwa hapo,kwa Mkapa hat
Tuwekee uthibitisho hapa
 
Safi
 
Simba zipo 4.
1.Ipo Simba ya Uganda
2.Ipo Simba ya Tanzania
3.Ipo Simba ya Drc
4. Ipo Simba bhora ya Zimbabwe Premier leage

Wewe unaiongelea Simba ipi
 
Simba imefanikiwa kuzima njama za kuhamishia Amani mchezo wa fainali badala ya Kwa Mkapa.
CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa. Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa.

Clecentius Magoli apewe Maua yake Kwa kujibu kwa nguvu njama hizo na hatimae uongozi wa CAF kuogopa na kuurudisha mchezo huo kwa Mkapa.

Ukisikia Simba ya Kimataifa ndio hii,Simba imekomaa mno,Simba ni kubwa mno,Simba haijaweza kutolewa mchezoni.

Huu nao ni ushindi mwingine Kwa Simba. Figisu nyingi zitakuja nazo zitazimwa..

Mwishoni mwa barua ya Magori aliandika tunajua nani Yuko nyuma ya hili, hapa akimwelekezea kidole Rais wa RS Berkane kua ndio amechonga fitina hizo,ambae poa ni makamu Rais wa CAF.

CAF wamelegea naechi ni Kwa Mkapa.

Hata hivyo Simba ni wakomavu sana hawakua na munkari pale waliposema wao wanafokasi na mchezo wa kwanza ,mambo ya uwanja watazungumzia baada ya mchezo wa Morocco.

Vurugu hizi zote inaonesha Berkane wameiogopa Simba na wanapaogopa kwa Mkapa.
Kwa kifupi Berkane atachinjiwa hapo,kwa Mkapa hatoki.
CAF Confederation Cup›

Simba Simba
Sun, 25 May
18:00

RSB Berkane RSB Berkane
Final · Leg 2 of 2

Simba S.C.
Sun, 25 May
18:00
RS Berkane

Buy tickets
Venue:Amaan Stadium

Timezone:All times are in East

Labda tefef waseme kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani
 
Simba imefanikiwa kuzima njama za kuhamishia Amani mchezo wa fainali badala ya Kwa Mkapa.
CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa. Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa.

Clecentius Magoli apewe Maua yake Kwa kujibu kwa nguvu njama hizo na hatimae uongozi wa CAF kuogopa na kuurudisha mchezo huo kwa Mkapa.

Ukisikia Simba ya Kimataifa ndio hii,Simba imekomaa mno,Simba ni kubwa mno,Simba haijaweza kutolewa mchezoni.

Huu nao ni ushindi mwingine Kwa Simba. Figisu nyingi zitakuja nazo zitazimwa..

Mwishoni mwa barua ya Magori aliandika tunajua nani Yuko nyuma ya hili, hapa akimwelekezea kidole Rais wa RS Berkane kua ndio amechonga fitina hizo,ambae poa ni makamu Rais wa CAF.

CAF wamelegea naechi ni Kwa Mkapa.

Hata hivyo Simba ni wakomavu sana hawakua na munkari pale waliposema wao wanafokasi na mchezo wa kwanza ,mambo ya uwanja watazungumzia baada ya mchezo wa Morocco.

Vurugu hizi zote inaonesha Berkane wameiogopa Simba na wanapaogopa kwa Mkapa.
Kwa kifupi Berkane atachinjiwa hapo,kwa Mkapa hatoki.
Brother umeropoka vibaya sana aibuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom