CAF Champions League

Mpira ni mapumziko kutoka
uwanja wa Orlando, Gauteng...
Orlando 0-1 Ahly
 
Game imeisha 1-1 imebakia kwenda Cairo.
 
Kama kawa kama dawa,leo lazima waarabu wakae,na hiki hapa ndicho kikosi kitakachoanza kuwaua waarabu leo,Niyonzima ni mgonjwa nadhani ata kwenye bench hatakuwepo.

Updates:HT-Al Ahly0-0Young Africans.
Updates😀k 73-Al Ahly1-0Yanga
Updates:Full time-Al Ahly1-0Yanga

Aggregate:Al Ahly1-1Yanga.
Full time:Al Ahly6-5Yanga!

Line up:Yanga.
1.Deo Munishi
2.Twite Mbuyu
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub
5.Kelvin Yondani
6.Frank Domayo
7.Saimon Msuva
8.Mrisho Ngasa
9.Didier Kavumbagu
10.Emmanuel Okwi
11.Hamisi Kiiza

Tetesi:Yanga wakiitoa Ahly watapewa 400m kama zawadi.
 
Angalia usije ukaingia gizani na hizo update usilete.

Tiba
 
Kila la kheri! Nawaombea ushindi mtani,Japokuwa nitafurahi zaidi mkifungwa 4-0 Hivi...!
 
Mkifungwa goli tano itaninogea kweli!!!!
 
Hii mechi ya leo, kituo gani cha television kitaonyesha hii mechi

Kila la kheri yanga

mpaka sasa haukuna kituo cha hapa nchini kilichojinasibu kuonyesha,kuna vituo nane vya misri vitaonyesha japo haviwekwa wazi na uongozi wa yanga umetuahidi kutuwekea link ili tufuatilie kwa internet,' KIDUMU CHAMA CHA YANGA'.
 
Hii mechi ya leo, kituo gani cha television kitaonyesha hii mechi

Kila la kheri yanga

JF TV tutakua live hapa.
We mwambie shemeji leo asikubugudhi kabisaaaaa!
Fundi mitambo wangu Makoye Matale na ACCOUNT FULL natumai tutakua pamoja hapa huku wachambuzi wetu studio Masuke Ndetchia watakua wakichambua mechi hii bila kuegemea upande wowote.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…