CAF Champions League

CAF Champions League

Esperance's Charmam is booked...
 
Kipindi cha kwanza kimeisha, mchezo bado ni bila bila, here in Alexandria.
 
Kipindi cha pili kimeanza...
 
Dakika ya 49, Walid Hichri anaipatia Esperance goli la kwanza...
 
Harrison Afful anapata kadi ya manjano kwa kumchezea rafu Soliman...
 
Golikipa anaokoa sana michomo ya mbali ya Ahli.
 
Nusura Afful aipatie Esperance goli la pili, bonge moja la header...
 
Naona hujuma za kutumia spotlights zinaendelea, golikipa wa Esperance anamulikwa karibu game nzima.
 
Aboutreka anakosa tena nafasi ya wazi.
Save matata toka kwa Ben Cherifia...
 
Mashabiki wa Ahly wameanza kurusha mawe uwanjani...
 
Emad Eteb anaingia nafasi ya Mohamed Gedo...
 
Al Ahli wanakosa nafasi ya wazi...
 
Barakat anaangushwa nje ya boksi, freekick Ahli's way.
 
Al Ahli wanapa goli la kusawazisha dakika za majeruhi hapa...
 
Refa kutoka Algeria anapuliza kipyenga chake kuashiria mwisho wa mchezo.
Matokeo ya mwisho,
Al-Ahly 1 - 1 Esperance
 
Refa kutoka Algeria anapuliza kipyenga chake kuashiria mwisho wa mchezo.
Matokeo ya mwisho,
Al-Ahly 1 - 1 Esperance

Kutoka uwanja wa Borg El-Arabi mjini Aleksandria, ripota wenu sina la ziada.
Tukutane tena wiki mbili zijazo, huko mjini Tunis, uwanja wa Olimpiki Menzah...
 
Ebwanaeee hawa jamaa ni wabaya wakiwa nyumbani kwao wanafitina ya ajabu kweli hawafai.

Waache wafitiniane, wanajuana hao.
Esperance waliwazingua Mazembe leg ya pili nusu fainali sina hamu nao...
 
KOMBE: Klabu Bingwa Afrika
HATUA: Fainali, mchezo wa kwanza
UWANJA: Orlando Stadium, Gauteng
MUDA: 2130 MAM (Majira ya Afrika Mashariki)
 
Back
Top Bottom