Hivi Mungu huyu kwanini huwa hasikilizi kilio cha minorities kama Yanga..
Kwa nini mechi haikuishia kwa Bahanuzi...this is not fair jamani...
Kila siku siye ndio wakuambiwa tumejitahidi...bahati haikua yetu...mara tumetoka kishujaa..sijui kifua mbele...
Ni bora tungefungwa 5 zile tulizozoea kuliko tulivyofungwa leo....pamoja nilikua namatumaini na ndoto za kuwafunga waarabu nilikua najua waarabu ni wazuri sana uwanja wa kwao lakini Dida alipocheza penalty ya pili moyo wangu ulilipuka nakusema "this is it " masikini ya Mungu Bahanuzi...
Kwa masikitiko na unyonge niliyonao usiku huu...natamani hata bora ningekua sishabikii mpira kabisa maishani mwangu...haya ni mateso usiku mzima..bado blue Monday...