CAF Champions League

ahsalan wasahlan,bahati haikua yetu leo anyway ni improvement kubwa,tulikua tukinusa tu egypt tunapigwa 5,tukijikongoja tunalala 3 bila leo mwarabu tunamtoa ulimi kwake ahhhhh.
 
Umeona eee... yani ni kama mtu anabakwa halaf aseme du ila wamesumbuka eti baadaye sana ndio wamepata. Lakini wamepata

Ha ha haaa Aisee kwa kejeli hii lazima nicheke ingawa sifurahishwi na Tanzania kutolewa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani we acha tu niliyaomba
yametimia, kesho mjini pasingekalika ila nawapongeza wamekufa kiume
yanga wana timu mzuri sana safari hii.

BAYERN MUNICH JE WANA TIMU GANI KAMA YANGA WANATIM MZURI? Toa kinya chako apa mchezaji atakuwa ngasa?
 

Hapa hakukuwa na 30 minutes additional ndugu acha kutapika....
 
..Magazeti ya simba hapo kesho.
Saba za wakomoro zawaridia.
..yanga kama nyoka wamaonyesho walala na mbuzi washindwa kumtafuna
..profesinal wao mwenye kejeri kwa simba awatoa yanga afrika
 
Jaxonwaziri kweli mkuu👏
But huu ndo ⚽, Lazma tukubaliane na matokeo, Kupigana tumepigana!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mpira wetu bado sana!!kama tumewakosa safari hii hatutawapata tena.
baati haiji mara mbili...Al-Ahly ya msimu ilikuwa imafungika, ila useme tu wachezaji wa Yanga walilewa sifa kwa ka-goli kamoja walikopata hapa nyumbani wakasahau kwamba nako kalifungwa na Beki kwa baati.
 
Ha ha haaa Aisee kwa kejeli hii lazima nicheke ingawa sifurahishwi na Tanzania kutolewa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hayajui kucheza banaa ...Yanga iliongoza ikashindwa kujilinda..HOPELESS...wacha yarudi tu!! watmweza mwarabu gani?hawa!
 
bado ninabaki na msimamo wang .. japo karoho kananiuma

yanga juuuuuuuuu....
 
Oh mara Wazee wa Uturuki, Wazee wa wiki leo mtaa wote kimya na taa zimezimwa. Tupa kule Yebo yebo.
 

mi ndio mhariri,ntaandika tu wamegongwa 0713 kwa tabu sana!yan wangezubaa kidogo tu wangekimbia na pichu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…