CAF Champions League

Al ahly wanashambulia sana kwa sasa, Goli walilopata limewaamsha sana, Still Dar young wanaweza fanya kitu ndani ya hizi dk kumi,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dar young africans....vijana wa jangwani wanatisha. Ni club kongwe na yenye wafuasi wenye akili zao timamu.
 
Rogieeeeeeee kam this way pliizzz!!
 
Last edited by a moderator:
ah!samahani mkuu,ni furaha iliyopitiliza ya kumvua chup kanjbah na yanga kupigwa na waarabu,
yan leo wigan na ahly ndio majembe yangu

poa mkuu,nafuta post yangu na we futa yako uliyoni-quote
 
Domayo anakosa Goli la wazi, Tungeweza sawazisha hapa, still Goli ni moja kwa bila.......⚽


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanapata nafasi ya wazi kabisa warabu ila Mungu yupo na sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…