A ACCOUNT FULL JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 1,995 Reaction score 389 Mar 9, 2014 #761 utafiti said: Aibuuuu tena aibu kubwa jamani....dida anaweka "vitu" kwenye lango la goli....uchawi live Click to expand... dida anacheza na akili zao tu...hakuna alichoweka golini.
utafiti said: Aibuuuu tena aibu kubwa jamani....dida anaweka "vitu" kwenye lango la goli....uchawi live Click to expand... dida anacheza na akili zao tu...hakuna alichoweka golini.
Grader JF-Expert Member Joined Feb 23, 2009 Posts 445 Reaction score 65 Mar 9, 2014 #762 Yanga wamepaki basi sasa
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,905 Reaction score 28,061 Mar 9, 2014 #763 rubaman said: Come on Yanga wapigeni ubaya hawa Waarabu Click to expand... Yanga wana hali mbaya sana...
rubaman said: Come on Yanga wapigeni ubaya hawa Waarabu Click to expand... Yanga wana hali mbaya sana...
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Mar 9, 2014 #764 kabanga said: kwani dk yangapi anachelewesha mpira...? Click to expand... dakika ya 64 binam
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Mar 9, 2014 #765 Ntuzu said: Nilitaka city awe anashiriki mashindano mengi ili wawe wanachoka iwe rahisi kwa Chelsea kuchukua kombe! Lkn saiz wataweka nguvu kwa EPL sn! Click to expand... Chelsea au arsenal kaka?
Ntuzu said: Nilitaka city awe anashiriki mashindano mengi ili wawe wanachoka iwe rahisi kwa Chelsea kuchukua kombe! Lkn saiz wataweka nguvu kwa EPL sn! Click to expand... Chelsea au arsenal kaka?
JuaKali JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 776 Reaction score 118 Mar 9, 2014 #766 yanga piga hao jamaa....
tameer JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 773 Reaction score 1,461 Mar 9, 2014 #767 Chuji anaingia
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Mar 9, 2014 #768 Kibanga Ampiga Mkoloni said: Hongera kijana Naona huo Mkeka wa kwanza umegawana Faida na Mhindi. Click to expand... dah!yan hapa nasubiri kesho naona mbaali
Kibanga Ampiga Mkoloni said: Hongera kijana Naona huo Mkeka wa kwanza umegawana Faida na Mhindi. Click to expand... dah!yan hapa nasubiri kesho naona mbaali
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,905 Reaction score 28,061 Mar 9, 2014 #769 Grader said: Yanga wamepaki basi sasa Click to expand... Unamaanisha wame-panic ehh.... Yanga wana hali mbaya...
Grader said: Yanga wamepaki basi sasa Click to expand... Unamaanisha wame-panic ehh.... Yanga wana hali mbaya...
Chizi Fureshi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 1,718 Reaction score 462 Mar 9, 2014 #770 Kwa ujumla Heaven on Earth unaipenda Yanga. Pamoja na hilo leo unastahili kuwa nguli wa Jukwaa. Hapo vipi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kwa ujumla Heaven on Earth unaipenda Yanga. Pamoja na hilo leo unastahili kuwa nguli wa Jukwaa. Hapo vipi?
M mjasiria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 4,155 Reaction score 1,866 Mar 9, 2014 #771 Dah. Ngassa anaelekea benchi.
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Mar 9, 2014 #772 Kuna mchezaji wa yanga kalala pale chini sijui kafanyajwe
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,355 Reaction score 108,485 Mar 9, 2014 #773 Ngassa kaumia na anatolewa nje kugangwa...namuona anachechemea Wakati huo Chuji anaingia kuziba pengo lake
Ngassa kaumia na anatolewa nje kugangwa...namuona anachechemea Wakati huo Chuji anaingia kuziba pengo lake
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,014 Reaction score 10,682 Mar 9, 2014 #774 tedo said: Yanga wana hali mbaya sana... Click to expand... Hapana tunakataa kabisa aise.... Hapa twaweza aise, ebu tusubiri dk 90...
tedo said: Yanga wana hali mbaya sana... Click to expand... Hapana tunakataa kabisa aise.... Hapa twaweza aise, ebu tusubiri dk 90...
T Telexfree Member Joined Feb 16, 2014 Posts 10 Reaction score 1 Mar 9, 2014 #775 Vijana wa yanga wako kazini mdahuu wakipambana kutetea taifa,tuache unazi tuwaombee wavuke salama.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Mar 9, 2014 #776 Ngasa naona ameumia hapa anatoka hapa
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Mar 9, 2014 #777 mjasiria said: Dah. Ngassa anaelekea benchi. Click to expand... anaingia Othman
M mshumbue-soi JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 1,842 Reaction score 1,148 Mar 9, 2014 #778 ACCOUNT FULL said: mama yangu! goli la wazi kabisa tunakosa! Click to expand... Nawe unacheza kumbe namba ngapi mbona hatukuoni tunaoangalia uliposema "tunakosa..
ACCOUNT FULL said: mama yangu! goli la wazi kabisa tunakosa! Click to expand... Nawe unacheza kumbe namba ngapi mbona hatukuoni tunaoangalia uliposema "tunakosa..
Gwamahala JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 3,925 Reaction score 2,327 Mar 9, 2014 #779 Am not a fan of Yanga but wakiitoa Al Ahly ntafurahi sana. Dk ya ngapi?
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Mar 9, 2014 #780 Chizi Fureshi said: Kwa ujumla Heaven on Earth unaipenda Yanga. Pamoja na hilo leo unastahili kuwa nguli wa Jukwaa. Hapo vipi? Click to expand... Yanga damu mwenzio ila hapa niko hoi kabisaaaa
Chizi Fureshi said: Kwa ujumla Heaven on Earth unaipenda Yanga. Pamoja na hilo leo unastahili kuwa nguli wa Jukwaa. Hapo vipi? Click to expand... Yanga damu mwenzio ila hapa niko hoi kabisaaaa