CAF Champions League

Ban linihusu ndala wakishinda hii game
 
mkuu, kuna watu wanadai ni sawa tu, sbbu huwa anapoozesha mashambulizi, unalizungumziaje hilo?

Si kweli mkuu...

Role yake ndio inamfanya awe anamiliki sana mpira akijaribu kutafuta vyumba vyenye madhara zaidi, ukuangalia mara nyingi pass zake ni zile za kupenyeza kwa wamaliziaji
 
Si kweli mkuu... Role yake ndio inamfanya awe anamiliki sana mpira akijaribu kutafuta vyumba vyenye madhara zaidi, ukuangalia mara nyingi pass zake ni zile za kupenyeza kwa wamaliziaji
Ngoja tuone ni namna gani tutapata ushindi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…