Tushamwalika mwanamuziki maarufu Amyner aje atutumbuize kwenye kupombekaHilo pozi la Blue G mhh noma ila ummu kulthum mashaallah walah! msafiiiiiii!
my hubby! am hummbled! just speechless, big surprize! zawadi yako nakuandalia, japo mtoto sijazaliwa bado, lakini nikiwa tumboni nilikuwa mkoleni tayari, so ctakuangusha! mwahhhhhhhhh!
thank u mke mwenza! hata sijui nivalishwe pampers za aina gani hiyo kesho, kuhusu kivazi shughulika nakukabidhi jukumu! am so happy today, cant wait for the fivesome Yummy! awwwww!Aiseee kumbe kuna kila sababu ya kupombeka kesho......wawawaaaaaaa hepi besdei in advance my mke mwenza cacico
Yaani kesho full team.........sasa basi na tuanze kutoa mialiko mapema ili tujumuike na kina Mr Rocky(usijali kipenzi ntakutumia tikiti ya ndege,muage tu waifu vizuri. Erickb52 hata na weye ukitaka tikiti ntakutumia kwa EMS, Kaizer maudhurio yako niya muhimu sana maana gfsonwin/AshaDii (w)atakuwapo.
Nimeongea na Bishanga hapa anasema atatuazima lile lirange lake tumbebeamo bebii, na ameahidi kutupa mchango wake wa 1m kwaajili ya kunywesha na kulisha wageni wote wataoweza kuhudhuria......uwiiiiii i can't wait aseeee.
Asprin hivi bado masaa mangapi vile???
na taarab pia isikosekane plzzzzz! nna hamu ya kujipa raha!
Kama kawaida yetu.... wakoloni watatusamehe manina zao. Full kujirusha kama kawaida yetuHiyo itakua vyema zaidi kama tutakesha na mzazi kwaajili ya kumpokea baby girl wetu......fanya fanya majamboz halafu unishtue aseee. Mie ngoja nianza kuugua kuanzia sasa ili nichukuemo sick sheet kabisa, hivyo wewe unipitiemo TMJ.
kwi kwi kwi kwi hubby, mbona kama hilo dongo la mtu jemeni?? mi thpendi ujue, lol!Nshaandaa gari ya kukufuata malkia wangu.... mtoto mzuri kama wewe huwezi panda Escudo bana
shemeji upo?? mzima wewe?? kesho MUNGU akipenda nakuja duniani rasmi, nangoja kupokelewa nawe! lolest!Haswaa! Ngoja nikufuate huko huko!
thank u mke mwenza! hata sijui nivalishwe pampers za aina gani hiyo kesho, kuhusu kivazi shughulika nakukabidhi jukumu! am so happy today, cant wait for the fivesome Yummy! awwwww!
Haswaa! Ngoja nikufuate huko huko!
kwani mke mwenza tena anajivinjari na mtu infront of u??? khaaaaaaaa! ni utani tu, hubby dont worry!Afu nyie ndio nini kutongozana kwenye thread ya mimba ya uzazi?
mke mwenza, i told u mama alirudi umesikia?? thanx for ur concerning, she is recovering well, kidogo kidogo tu!Hahaaaaaaaa we acha tuuu