Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,157
Wakuu Kwema?
Kuna TV funa nakaribia kuipata, mazingira yenyewe ni kua naipata TV tupu, sasa nimeicheki nimeiona kwenye Pots zake kuna One Connect, USB na Internet tu. Huu wa ONE CONNECT ndi utaunga device itakayokua na pots za HDMI, AV, etc.
Sasa nauliza hii device ya One Connect naweza kuipata wapi kwa hapa Bongo? Nahitaj hata used ikiwezekana, Nimemtuma mtu kwenye maduka ya Samsung wanasema hawauzi, na ebay kuna gharama kmias mpaka kuileta.