hakuna kitu hapo
Cable ya elfu 5[emoji28][emoji28]
Unategemea nini mkuu??
Yes cable inahusika kwa 50% speed ya kujaza simu,adapter ikiwa OG cable ya mchongo charger haijai haraka au haijai vizuri pia.
Issue hapa mkuu hata ukitoa hio hela nyingi hakuna Warranty kwamba utapata OG. Cable OG mjini za uhakika toka verified store unaweza ukaambiwa hata 150,000.Mkuu cable nzuri bajeti yake ipoje?
Na nizingatie nini haswa angalau kwa macho tu
Kitaalam inashindwa kubeba AMPS sahihi inapelekea chaji kushindwa kutoa watts sahihi ili iweze kuichaji simu kwa harakahakuna kitu hapo
wanatumia nyaya nyembamba sana ndani, inabana kupitisha moto wa kutosha
Kitaalam inashindwa kubeba AMPS sahihi inapelekea chaji kushindwa kutoa watts sahihi ili iweze kuichaji simu kwa haraka
Bei si tatizo 7bu unaweza nunua hata wa bei juu na ikawa shida
Km ukifika kkoo usipate tabu kuzunguka madukani kama si mjanja wewe waachie wale vitorori wakutafutie wewe waeleze shida yako ni ni haswa
Umemaliza kila kitu sina cha kuongeza mkuuKitaalam inashindwa kubeba AMPS sahihi inapelekea chaji kushindwa kutoa watts sahihi ili iweze kuichaji simu kwa haraka
Bei si tatizo 7bu unaweza nunua hata wa bei juu na ikawa shida
Km ukifika kkoo usipate tabu kuzunguka madukani kama si mjanja wewe waachie wale vitorori wakutafutie wewe waeleze shida yako ni ni haswa
Swala la charge lilinitesa muda sana kila mara hapo k.koo nilinunua fast charge kwa 15000 lakini hazikunifurahisha.kuna charger moja hivi nimenunua kwa 25000 wanaziita za mtumba ni charger nzuri sanaTafuta usb og....kwa wahindi wabongo watakusumbua