Na kwa mara ya kwanza chini ya Mkullo serikali ya URT imelazimika kukopa kutoka commercial bank kujazia nakisi ya bajeti yake. Mkopo huu utalipwa na wajukuu wetu.1-Kwa mara ya kwanza chini ya utawala wa Mkulo, bajeti tegemezi imeshuka toka 48% mpaka 28%
Bull unapotoa hizo figure hapo juu tunaomba absolute figure pia. % pekee haitoi picha. Absolute figure ya 48% ni nini na hali kadhalika 28% ni nini?
Kikwete amejitahidi kiasi kuepukana na mawaziri ambao wana tuhuma/kashfa za ufisadi kwenye cabinet yake mpya. Lakini nimegundua kuwa wanasiasa vilaza wenye uwezo mdogo wa akili, ubunifu na kuchapa kazi ndiyo wamepewa kuongoza wizara nyeti.
Kwa maoni yangu, kwa kutumia mawaziri walewale wa Cabinet, Kikwete angekuwa na baraza la mawaziri lenye ufanisi mkubwa kama angefanya uteuzi huu:
1. Waziri wa Fedha, Prof. Anna Tibaijuka
Huyu ana uzoefu wa UN, UNCTAD, ana PhD ya agro-economics na alikuwa economics professor UDSM. Anakubalika sana kimataifa. Donors hawana imani na uwezo wa Mustafa Mkulo. Angesaidia kurudisha imani ya donors kwa Tanzania ambao walipunguza misaada kwenye bajeti iliyopita kwa kama $250m.
2. Waziri wa Maliasili na Utalii, John Magufuli
Utalii inaongoza kwa kuingiza pato serikalini lakini bado Tanzania imelala sana. Afrika Kusini inapata watalii milioni 8 kwa mwaka sisi bado hata hatujafikisha 1 million. Pia angekomesha biashara haramu ya vitalu, magogo na meno ya tembo.
3. Waziri wa Nishati na Madini, Harisson Mwakyembe
Huyu ni mchapa kazi mahiri. Anaijua sheria vizuri na angesimamia mikataba mibovu ya madini ibadilishwe. Makampuni makubwa ya madini yanamdharau waziri wa sasa William Ngeleja kuwa hajui kinacho endelea. Ngeleja aliwahi kupongeza De Beers kuuza mgodi wa Mwadui Williamson diamonds kwa Petra kimakosa badala ya kuuza hisa hizo kwa serikali ya Tanzania.
4. Waziri wa Kilimo, Samuel Sitta
Angesaidia kuleta msukumo mpya kwenye sekta ya kilimo ambayo bado inalegalega sana. Angeboresha kilimo kwa standards and speed. Kilimo cha kisasa kingefana. Tanzania ingekuwa nchi ya milk and honey.
5. Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof. Mark Mwandosya
Ni mfuatiliaji mzuri. Angesaidia kuboresha utendaji kazi wa halmashauri zote nchini. George Mkuchika, ambaye ni swahiba mkubwa wa Kikwete alishindwa kuongoza wizara ndogo kama ya habari. Kumpa Mkuchika wizara hii nyeti ni jambo la ajabu sana na la kutotegemewa.
You can't be serious! Exchange rate za shiling yetu na fedha za nje zikoje? For this no no no!Mkulo anafaa abaki pale pale kwenye fedha kwa sababu zifuatazo;
1-Kwa mara ya kwanza chini ya utawala wa Mkulo, bajeti tegemezi imeshuka toka 48% mpaka 28%
2-Ukusanyaki wa kodi umepanda toka 240billion mpaka kufikia 1025billion 2010
3- Uchumi wetu unaendelea kupata sasa umefikia 7.8%
4- TZ inakuwa kiuchumi kuliko nchi yoyote ya East afric na kushind nchi nyingi africa
4- credit facilities/mikopo inapatikana kila sehemu
5- Bank ya wanawake na kuwawezesha kimaendeleo
6- Inflation imeshuka sasa ni 4.5% toka 15%
7- Thamani ya shillingi haijaporomoka kwa muda mrefu
8- Bail out plane, tz imehimili mtikisiko wa uchumi duniani chini ya JK na Mkulo kama waziri wa fedha
9- Bajeti ya kila wizara ameongeza hasa wizara zilizo kuwa zimesahaliwa na mawaziri waliopita
10 Bajeti ya elimu, afya na kilimo imeongezwa maradufu
11- nk
Wakuu tuwe fair tunapo wajaji watu tusiwe always negative toward other, naamini Mkulo kajatahidi, chini ya uongozi wake tanzania itafika mbali, kama wanauchumi walivyo tabiri na kusema' TZ kama itaendelea na speed hii ya uchumi kati ya 7 to 10% itakuwemo kati ye emerging market countries' Nawakilisha
Mkulo anafaa abaki pale pale kwenye fedha kwa sababu zifuatazo;

Fareed:
Naomba uniambie kitu kimoja. Kuna sababu gani Tibaijuka kuchukua wizara ya fedha hili kurudisha imani ya wahisani? Kwanini asitafutwe mtu ambaye kazi yake itakuwa ni kuwambia hao wahisani THANK YOU VERY MUCH, WE WILL LIVE WITHIN OUR OWN MEANS.
Misaada wanayotupa are unsustainable. Inategemea sana na hali za uchumi za nchi hizo. Kwanini misaada hiyo ipungue 2009-2010 wakati nchi hizo zinakabiliwa na matatizo ya kifedha. Na aikupungua wakati kulipokuwepo na scandals za EPA au Richmond.
salutekama kuna watu sikutaka kuwaona ni wanne kwanza ni yeye mwenyewe kama rais (ila hili nimelivumilia) wizarani sikupenda kuwaona ngeleja yule msela, mkulo yule mkulaji na kawa mbwa alojenga matundu manne ya choo kwa mil mia saba!
Na kwa mara ya kwanza chini ya Mkullo serikali ya URT imelazimika kukopa kutoka commercial bank kujazia nakisi ya bajeti yake. Mkopo huu utalipwa na wajukuu wetu.
Mkulo anafaa abaki pale pale kwenye fedha kwa sababu zifuatazo;
1-Kwa mara ya kwanza chini ya utawala wa Mkulo, bajeti tegemezi imeshuka toka 48% mpaka 28%
2-Ukusanyaki wa kodi umepanda toka 240billion mpaka kufikia 1025billion 2010
3- Uchumi wetu unaendelea kupata sasa umefikia 7.8%
4- TZ inakuwa kiuchumi kuliko nchi yoyote ya East afric na kushind nchi nyingi africa
4- credit facilities/mikopo inapatikana kila sehemu
5- Bank ya wanawake na kuwawezesha kimaendeleo
6- Inflation imeshuka sasa ni 4.5% toka 15%
7- Thamani ya shillingi haijaporomoka kwa muda mrefu
8- Bail out plane, tz imehimili mtikisiko wa uchumi duniani chini ya JK na Mkulo kama waziri wa fedha
9- Bajeti ya kila wizara ameongeza hasa wizara zilizo kuwa zimesahaliwa na mawaziri waliopita
10 Bajeti ya elimu, afya na kilimo imeongezwa maradufu
11- nk
Wakuu tuwe fair tunapo wajaji watu tusiwe always negative toward other, naamini Mkulo kajatahidi, chini ya uongozi wake tanzania itafika mbali, kama wanauchumi walivyo tabiri na kusema' TZ kama itaendelea na speed hii ya uchumi kati ya 7 to 10% itakuwemo kati ye emerging market countries' Nawakilisha
Adui mwombee njaa. Kwani unataka utawaliwe na ccm kwa karne ngapi? Tumezoea shida zetu na furaha, vifijo na nderema za makabwela vitasikika siku ccm itakapo kuwa chama cha upinzani. Tatizo watanzania tunatendence ya kubadilika badilika. Mlitaka mwanze kumwaga sifa wakati juzi tu mlidai kachakachua matokeo maana mlishapoteza imani na kura zenu ndo zilizochakachuliwa sasa mazuri kwake utayatoa wapi.