Cabinet CHADEMA tafakarini hili!!

Nikipigwa risasi kwenye m4c msiangaike saana makamanda,wewe kanyaga au niruke alafu songa mbele.Tutahudumiwa wangapi? Je,polccm wakiamuafyatatua risasi kama kwenye mkanda wa salafinaSOWETO utawajulia hari wangapi?hizi ndizo ghalama za ukombozi.

Daaa nimeipenda hii spirit ingawa wakikanyagwa makamanda walioaga dunia chichiem watapata la kusema na propaganda zao cuz ndo wanaloliweza.
 
Mm nazani tujitahidi kuepuka kutunishiana msuli na polisi inapobidi na nazani mahali pengine na kwenye mazingira ya msingi ( rejea ishu ya sensa Iringa ) inawezekana lakini ikitokea polyccm wameua wafuasi wetu basi taratibu za kujumuika na wafiwa na mkono wa pole zifanyike, mfuko ni wazo zuri ila litatupa shida sana kuliendesha nazani tu focus na m4C kwanza
 
M4C ni failure anguko kuu la chadema kabla ya 2015
Wewe ndiwe failure kwako mwenyewe, kwa familia yako, na kwa taifa zima. Ulizoea kula butter ya CCM sasa utakiona kwani hii movement hairudi nyuma hata ukiangusha pofu kiasi gani. Go CDM go! God is with you and our nation is going to be free soon!
 
Wazo ni zuri lakin huo mfuko ukianzishwa nahisi unaweza ukawa na -side-effect kwamba itaonekana kama cdm imepewa hela ili kugilibu na kuangamiza maisha ya watz. Ila nadhani usiwepo mfuko wa kazi hiyo bali uwepo utaratibu wa kuwasaidi wahanga wa matukio haya. Ili tusiwape magamba sababu ya kuchonga bali wao nao wahamasike na umoja na mshikamano wetu.

Uko sahihi Mkuu!! Point ni kutafuta namna ya kuwasaidia wahanga!! Safari ni ndefu, Mafisadi nao wanaongeza giriba siku zisongavyo lazima tujipange kamanda wangu!!
 
Sikutegemea mawazo tofauti na haya kutoka kwako!! Mkuu vua gamba, aibuu kwa binadamu mwenye timamu zake kulamba miguu ya Mafisadi!!
 
Pongezi za dhati kwa kazi ngumu ya vuguvugu la mabadiliko nchini inayoendelea kwa mafanikio makubwa, japo ina milima na mabonde yake!!

Kadri siku zinavosonga, M4C inazidi kuleta matumaini ya ukombozi lakini kuna matatzo yatokeayo wakati wa vuguvugu hili, hasa WAHANGA WA M4C (point yangu inasimama hapa)

Tumekuwa na wahanga wengi kadri M4C inavozidi kuwachachafya mafisadi na wezi wa CCM, na chama chetu japo kimekuwa kikiwajari wahanga hao lakini si kwa 100% kutokana na uwezo wa chama na changamoto zinazokikabili!!

Binafsi nashauri(tafakarini) kama ambavyo tumekuwa tukichangia mambo mengine kuendeleza chama, TUANZISHE MFUKO MAALUM KWA AJILI YA WAHANGA WA M4C maana nina uhakika hadi tuione2015 waathirika tutakuwa wengi na chama kisipowahudumia kuna uwezekano hata watu wakakata tamaa!!

Tuanzishieni mfuko huu, uwe na mfumo utakaoruhusu walioko nje na ndani kuchangia. Nina imani jambo hili linawezekana na ni muhimu!!

PEOPLEEE'S....!!
M4C 4EVER!!
Janja yako hiyo umeshasitukiwa unaanzisha wazo hilo ili upewe ukinara nawe ujinufaishe! Ufisadi kwa Milango ya pembeni?
 
NI WAZO LISILO NA MAANA WALA FAIDA YOYOTE!... CDM inaandaa program ya ukombozi!.. ktk program ya CDM hakuna mpango wowote wa kufanya vurugu wala kukiuka sheria. Na hivi ndivyo ilivyo!... Jambo la muhimu ni kukishinikiza Chama cha Mafisadi a.k.a Mabwepande kuacha kuvuruga na kuua raia kwenye harakati za CDM. Mauaji hayawezi kutokea iwapo mikutano na maandamano yameandaliwa kwa kufuata taratibu zote (Kama CDM wanavyofanya sasa) na POLISI wakiacha UHUNI wa kusitisha mikutano iliyoandaliwa na kutolewa taarifa polisi mapema. LA SIVYO POLISI WAANZISHE MFUKO WA KUHUDUMIA WAHANGA wanaopanga kuwaua kwenye harakati za CDM. HAWA NDIO WAUAJI WANAOJUA KWA NINI WANAUA WENZAO!....
 
Janja yako hiyo umeshasitukiwa unaanzisha wazo hilo ili upewe ukinara nawe ujinufaishe! Ufisadi kwa Milango ya pembeni?

Safi sana Mkuu, haya wewe nae ni mawazo yako, ila tambua na weka kumbukumbu kwamba usiku wa leo umechuma dhambi isiyo ya lazima!!
 
NI WAZO LISILO NA MAANA WALA FAIDA YOYOTE!... CDM inaandaa program ya ukombozi!.. ktk program ya CDM hakuna mpango wowote wa kufanya vurugu wala kukiuka sheria. Na hivi ndivyo ilivyo!... Jambo la muhimu ni kukishinikiza Chama cha Mafisadi a.k.a Mabwepande kuacha kuvuruga na kuua raia kwenye harakati za CDM. Mauaji hayawezi kutokea iwapo mikutano na maandamano yameandaliwa kwa kufuata taratibu zote (Kama CDM wanavyofanya sasa) na POLISI wakiacha UHUNI wa kusitisha mikutano iliyoandaliwa na kutolewa taarifa polisi mapema. LA SIVYO POLISI WAANZISHE MFUKO WA KUHUDUMIA WAHANGA wanaopanga kuwaua kwenye harakati za CDM. HAWA NDIO WAUAJI WANAOJUA KWA NINI WANAUA WENZAO!....

Mkuu unamaanisha ile mikutano ya Arusha, Mbeya juzi Moro na kwingineko ambako walipatikana wahanga mikutano haikuwa na vibari!!?

Mkuu unawataka Policcm waanzishe mfuko kama wapi na lini ukawaona Policcm wamekuwa binadam!!?

Unasema Policcm waache UHUNI, sijui unazungumzia policcm wa wapi!! Mara ngapi viongozi wetu wamekemea haya?

Nadhani hauko siriasi mkuu, vinginevyo tuko pamoja kamanda wangu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom