Kasomea sheria ya dini, na certificate ya afya ya macho. Ukitaka miwani nini, atakutoa. And obviously you can see, he used to be a catholic priest. He also worked extensively with Mbulu Diocese development plans. Si unajua tena faith based development agenda zilivyo. He used to be kada wa CCM and ventured to opposition (just like Shibuda, Mabere, Wasira, Masumbuko Lamwai, Mrema na wengine) and is accountable for Karatu constituency in the last 15 years.
Recently waTanzania decided that he is unfit for the office, he received 20 something percent of all votes. He has been able to create a cult like society, especially online. capitalizing on disgruntled yutes by using only one word "Ufisadi". His political future? we don't know, he will on late 60s when comes 2015. We would like to think, he has few more years of making noise in majukwaa na TV but definitely no presidential. He is the face of Chadema, so he goes down, Chadema goes down.
Samahanini nilikuwa sijui kama hii maada imeshajadiliwa lakini kuna kitu kinanishangaza hapa.
St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980 1981 ADV DIPLOMA
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977 1981 PHD.nikiangalia hiyo miaka hapo na inaonyesha ni vyuo viwili tofauti na amechukukuwa hiyo Phd bila ya kuwa na undergradute degree au master degree na inaonyesha ameanza kusoma Phd hata bila ya kuwa na advance diploma
kwani amekuwa enrolled kwa kozi ya Adv diploma tayari akiwa ni mwanafunzi wa Phd kwa miaka 3 ni vichekesho kweli kweli...sijui kama angepeleka uozo huo wa certificates zake TCU wangekubali.....kwani mimi Slaa naona ni sawa na watu wa CCM wanaonunua Phd zao au wanazotunukiwa kwani alikuwa hana sifa za kuchukua hiyo Phd na hana sifa hata za kuwa tutor wa chuo
P:S Slaa ni mchakachuaji tu wa elimu kama Mkwere( mkwere pia ana afadhali kwani ana degree )
Hapo ndo ujue kuwa huo ni mtambo! Kasoma vitu 2 kwa wakati mmoja; kasoma PhD bila Masters, Adv diploma ni equivalent ya undergraduate degree.
mie ninavyojua mtu ana upgrade masters to phd ikiwa ana enough publications (at least 5 or 6) sasa mbona tukimgoogle Slaa wilbroad hatuoni chochote kwenye google scholar? Nyie ni waongo huyo ni padre mwenye udokta wakupewa na catholic tu. Among PhD holders hawezi kusema yeye ni doctor bwana. Yeye na JK mule mule.
We can.... kwa sheria za wapi advance diploma ni equivalent na Undergraduate degree... inaonyesha wewe ni mbumbumbu kweli ameanza Phd hata hiyo advance dip hana kama huna la kuongea usiongee kwani unanifanya mimi nitapike... kila kitu kina utaratibu wake kijana.wewe jaribu kuomba chuo chochote duniani na certificate tu kama utakubaliwa hata kama una straight As kwenye hizo certificates....Nilichotaka kujua nimeshajua ya kuwa Dr slaa ni bogus kama wengine. Watu wanasema ukipenda chongo unaita kengeza..........sasa Slaa sijui kama ana Kengeza ...Im not sure
Mnyonge mpeni haki yake jamani JK he was one of the best students pale mlimani na msidhani hiyo degree ya theologia inaweza kufanana na experience ya leadership ya JK. Niwaulize swali dogo tu JK ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani? na slaa ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani?
Kasomea sheria ya dini, na certificate ya afya ya macho. Ukitaka miwani nini, atakutoa. And obviously you can see, he used to be a catholic priest. He also worked extensively with Mbulu Diocese development plans. Si unajua tena faith based development agenda zilivyo. He used to be kada wa CCM and ventured to opposition (just like Shibuda, Mabere, Wasira, Masumbuko Lamwai, Mrema na wengine) and is accountable for Karatu constituency in the last 15 years.
Recently waTanzania decided that he is unfit for the office, he received 20 something percent of all votes. He has been able to create a cult like society, especially online. capitalizing on disgruntled yutes by using only one word "Ufisadi". His political future? we don't know, he will on late 60s when comes 2015. We would like to think, he has few more years of making noise in majukwaa na TV but definitely no presidential. He is the face of Chadema, so he goes down, Chadema goes down.
Basi ina maana ulikuwa UNAJUA vibaya..................
Ukisomea U-Daktari wa binadamu au Wanyama, ukimaliza unakuwa na nini? Maana hawa watu huwa wanaenda kufanya PhD moja kwa moja. Pia watu waliosoma nchi kama Urusi zamani, walikuwa wakimaliza shule ya miaka 4/5 basi wanakuwa na Masters moja kwa moja.
Utaratibu wa shule unapishana kutoka nchi moja hadi nyingine. Ila tu inatakiwa hiyo shule, utaratibu wake uwe unajulikana kwenye wizara ya elimu husika ya nchi hiyo. Ndiyo maana PhD za akina Nchimbi zina walakini kwa sababu walisoma kwenye shule za uchochoroni ambazo hata Wizara ya elimu haivitambui. Akina Makongoro Mahanga, hadi anakuwa hajui jinsi ya kuchakachua, lohh!!!!
KakaKiiza.Two wrong doesnt make right...mnavyoongea ni kuwa Dr Slaa yuko right kutudanganya na Elimu yake ya kubabaisha babaisha kama walivyokuwa watu wa CCM au wengine..mbona mnakuwa too defensive hivi nieleze kwa system ya elimu ya tanzania ni possible kuwa enrolled katika kozi ya Phd ya advance diploma huna?msitushuhulishe bwana Slaa ni sawa na CCM wengine tu