C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Jamani ma Great Thinkers

Naomba kuuliza hivi Mheshimiwa Dr Slaa ana udokta wa nini (Fani gani)

Naombeni kufahamu
 
DR SLAA ni Dr wa Kweli kwa kusomea na si wa kupewa!!!! isije ikawa unafikiri udokta wake ni chakupewa!!!!!!!!!!! DR SLAA NI DOKTA WA PHILOSOPHY with Dergees in Theology
 
Okay nilikuwa najiuliza kila siku huyu mheshimiwa amesomea fani gani.

Thanks
 
hahahah hawa member wetu wapya jamani sijui kama wote ni watanzania au wana raia 2.... wachokozi chokoziiiiiiiii
 
Jamii ikikua tegemea watu wa aina mbali mbali. Usikasirike wakija na wachokozi chokozi ukataka mbaki vile vile mlivyokuwa, tunaongezeka kila aina mawazo mbali mbali uelewa tofauti tofauti.
 
Baadhi yao wamenunuliwa internet Modem na kina Rost Tamu, Loo Washa, na mafisadi wengineo.
Baadhi yao ni wa kuogopwa kama NEC, Maana wapo hapo kuchakachua hili jamvi letu lililotukuka.
 
Unaweza kunieleza kwanini ni ujinga?

Kwani sina haki ya kuuliza kwa kile nisichokijua?

JK najua ana PHD ya heshima ambazo hupewa viongozi wengi na watu mashuhuri duniani hata Nyerere anayo. Na ni utaratibu wa vyuo vingi kutoa hizo PHD za heshima wakati wa mahafali.
 
DR SLAA ni Dr wa Kweli kwa kusomea na si wa kupewa!!!! isije ikawa unafikiri udokta wake ni chakupewa!!!!!!!!!!! DR SLAA NI DOKTA WA PHILOSOPHY with Dergees in Theology

Yaani umejibu kwa hasira kama aliekuuliza angekuwa karibu na wewe nadhani ungemchapa vibao kumbe ni dokta wa philosophy ya theologia je ameipata wapi roma au?
 
Unaweza kunieleza kwanini ni ujinga?

Kwani sina haki ya kuuliza kwa kile nisichokijua?

JK najua ana PHD ya heshima ambazo hupewa viongozi wengi na watu mashuhuri duniani hata Nyerere anayo. Na ni utaratibu wa vyuo vingi kutoa hizo PHD za heshima wakati wa mahafali.
PhD ya heshima. amesomea wapi hiyo heshima? na inatusaidia nini sisi?
Elimu ni pale tu unapoweza kupembua mambo, kuwa critical thinker, kupima na ku-dare to do what possibly right kulingana na upembuzi uliofanywa.

Sasa PhD ya Heshima inaweza kumuongezea mtu mambo tajwa hapo juu? Kama haiwezi basi ni "shake well"
 
Yaani umejibu kwa hasira kama aliekuuliza angekuwa karibu na wewe nadhani ungemchapa vibao kumbe ni dokta wa philosophy ya theologia je ameipata wapi roma au?

https://www.jamiiforums.com/members/sokomoko.html
user-online.png
 
sijui laki nakumbuka alipata GPA ya 2.1 (kama sikosei) pale mlimani wakati anachukua degree

Mnyonge mpeni haki yake jamani JK he was one of the best students pale mlimani na msidhani hiyo degree ya theologia inaweza kufanana na experience ya leadership ya JK. Niwaulize swali dogo tu JK ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani? na slaa ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani?
 
Back
Top Bottom