C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

Nampenda Dr. Slaa kama mmoja wa viongozi ninaodhani (bila kujali itikadi ya chama) wanaweza kuwa na manufaa kwa Taifa mbeleni. Lakini napitia kipengele kidogo cha CV yake kama kinavyoonekana hapa chini

. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010

Ni dhahiri kwamba Dr. Slaa ametumika sana kanisanai mwa Bwana. Sasa najiuliza sana nini kilimtoa kanisani/madhabahuni na kukimbilia siasa? Je alifukuzwa huko kanisani? Na kama alifukuzwa kuna mwenye data ni kwanini? Au ni kiu tu ya kuwa RAIS? Au kuna zaidi ya hilo? Je kondoo wa Bwana walimshinda na sasa anataka awachunge watanzania?
Ni hayo tu

Swali lako ni la msingi na huenda likajibiwa ila tegemea pia matusi ya Wafuasi wa CHADEMA au post yako kuhamishwa au wewe kufungiwa! we kama unataka hayo yasikupate basi ulitakiwa umsifie tu Slaa na Chama chake ndio salama yako!!!
 
Si ungesema tu alikuwa padri say from 1977-1991?Mlolongo wa kuorodhesha hiyo miaka kama ulivyofanya hapo juu unasaidia kuonyesha kuwa amekuwa Padri kwa muda mrefu zaidi ama unawehuka?
Halafu hivi wadau na wakurugenzi wa JF wakiamua kui structure hii JF na kuZIgawanya forums based on party affiliation ama religious beliefs kungekuwa na mijadala ya aina gani?Maana watu mmeshindwa kuvumiliana na kujadili ishu kistarabu kwa kumind context rather than content.Huo hapo juu ni upupu ajabu,halafu utaanza kulia lia ukipelekwa kunakostahili.
 
Hili swali limejibiwa mara nyingi mno hapa Jamvini labda kama una jipya kuhusu Slaa au una hamu ya kuandika kuhusu Slaa!! Hakufukuzwa wala kusimamishwa katika ambazo watu hufanya kazi nyingi maishani hili si swali ila watanzania tulizoea ufanya kazi moja tangu ujana mpaka kustaafu ndo maana hili swali linajirudia
 
Si ungesema tu alikuwa padri say from 1977-1991?Mlolongo wa kuorodhesha hiyo miaka kama ulivyofanya hapo juu unasaidia kuonyesha kuwa amekuwa Padri kwa muda mrefu zaidi ama unawehuka?
Halafu hivi wadau na wakurugenzi wa JF wakiamua kui structure hii JF na kuZIgawanya forums based on party affiliation ama religious beliefs kungekuwa na mijadala ya aina gani?Maana watu mmeshindwa kuvumiliana na kujadili ishu kistarabu kwa kumind context rather than content.Huo hapo juu ni upupu ajabu,halafu utaanza kulia lia ukipelekwa kunakostahili.

hamna upupu hapo,tunapojadili hoja tuwe objective zaidi kuliko kuwa subjective,
mtoa hoja amejaribu kutoa data zake kwa undani zaidi, na alichoomba ni sababu zilizomfanya Dr Slaa kuipa kisogo kazi ya bwana(kama kwa hiari au la), sasa wewe unakurupuka tu na kuanza kumshambulia mtoa hoja.,au unafikiri JF ni ya wana cdm?,
semeni basi tuipotezee muwe mnajipongeza na kujisifia maupupu yenu mnayoyaeneza kwa wadanganyika.
So mpe sababu za dr kutimua vumbi madhabahuni.
 
hakuna upupu ana hoja ya msingi jibu swali, kwa nini aliondoka kanisani? na kwa nini anaungwa mkono sana na maaskofu? je utatuthibitishia vipi kuwa hichi si chama cha kidini? poor CDM watanzania sasa tunaanza kuona pumba na mchele, hatudanganyiki.
 
The way ulivyo andika thread yako inaonekana ni mzandiki, wala hakuna hja ya kujibiwa kiungwana. Umeweka mlolongo wa miaka utafikiri alikuwa anaomba upadri kila mwaka! Huu ni upu*mb*avu.

Walio kutuma kawambie Dr. Slaa ndiye Rais ajaye full stop!
 
Nampenda Dr. Slaa kama mmoja wa viongozi ninaodhani (bila kujali itikadi ya chama) wanaweza kuwa na manufaa kwa Taifa mbeleni. Lakini napitia kipengele kidogo cha CV yake kama kinavyoonekana hapa chini

. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010

Ni dhahiri kwamba Dr. Slaa ametumika sana kanisanai mwa Bwana. Sasa najiuliza sana nini kilimtoa kanisani/madhabahuni na kukimbilia siasa? Je alifukuzwa huko kanisani? Na kama alifukuzwa kuna mwenye data ni kwanini? Au ni kiu tu ya kuwa RAIS? Au kuna zaidi ya hilo? Je kondoo wa Bwana walimshinda na sasa anataka awachunge watanzania?
Ni hayo tu

Nadhani watu kubadili kazi ni jambo la kawaida sana Nyerere alikuwa mwalimu wa sekondari kabla ya kuacha na kuwa mwanasiasa. Makamba, Chiligati, na Kikwete walikuwa wanajeshi, baadaye wakaacha na kuwa wanasiasa. Mzee Karume alikuwa baharia kabla ya kuacha na kuwa mwanasiasa. Ronald Reagan alikuwa mcheza sinema kabla ya kuacha na kuwa mwanasiasa. Msululu ni mrefu tu; hapa kwetu leo hii kuna wale waliokuwa nyumba ndogo za wanasiasa wengine kabla ya wao pia kuwa wanasiasa.

Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa Slaa kafanya kazi kanisani kwa miaka kumi na minne kabla ya kuacha. Na tangu ameacha utumishi wa kanisani amekuwa mbunge wa karatu kwa miaka kumi na tano. Utumishi wake bungeni ni mrefu zaidi ya ule wa kanisani. Kwa hiyo ukitaka kumfahamu kamili, angalia historia yake yote badala ya sehemu ndogo tu ya historia yake.
 
Nampenda Dr. Slaa kama mmoja wa viongozi ninaodhani (bila kujali itikadi ya chama) wanaweza kuwa na manufaa kwa Taifa mbeleni. Lakini napitia kipengele kidogo cha CV yake kama kinavyoonekana hapa chini

. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010

Ni dhahiri kwamba Dr. Slaa ametumika sana kanisanai mwa Bwana. Sasa najiuliza sana nini kilimtoa kanisani/madhabahuni na kukimbilia siasa? Je alifukuzwa huko kanisani? Na kama alifukuzwa kuna mwenye data ni kwanini? Au ni kiu tu ya kuwa RAIS? Au kuna zaidi ya hilo? Je kondoo wa Bwana walimshinda na sasa anataka awachunge watanzania?
Ni hayo tu
Kwanza napenda kutanabahisha kwamba si kweli kwamba unampenda bali ni unafiki mtupu. Kwa kuangalia jinsi ulivyoipanga hiyo miaka ya upadre utafikiri amekuwa Padre kwa karne mbili! Ingetosha kusema tu alikuwa Padre kati ya mwaka 1977-1991 badala ya mlolongo mrefu usio na mantiki wenye nia ya ku-exagerate jambo. Tunajua fika wewe na wenzako kadhaa ni watu wa asasi chovu ya CCM inayoitwa TISS mliopewa majukumu ya kudumu ya kuleta confussion katika magazeti, vyombo vya habari na forums mbalimbali zilizojikita kuuweka wazi ukweli juu ya uhalifu na hujuma zinazofanywa na CCM na vibaraka wake dhidi ya nchi yetu Tanzania.
Hebu tusaidie kujibu yafuatayo:

  • Ni kifungu kipi katika katiba ya nchi hii ilipoharamishwa Mchungaji, Sheikh, Padre au Askofu kutumia haki yake ya msingi kwa kuwania nafasi yoyote ya uongozi katika jamii yake iwe udiwani, ubunge na hata urais?

  • Kanisa Katoliki lilishatoa mwongozo kwa mchungaji anayependa kujiunga na siasa ajiuzulu nafasi yake katika kanisa, na Slaa alifanya hivyo kabla ya kujiunga na siasa- kuna ubaya gani kufanya hivyo?

  • Mbona husemi hadi alipojiuzulu nafasi yake katika kanisa alikuwa kada mzuri kabisa wa CCM?

  • Mbona huwaambii watu kilichomkimbiza toka CCM ambacho ni ufisadi, u-mwenzetu, na kulindana katika mambo yanayolihujumu taifa na nchi?

  • Mbona hutuambii jinsi mlivyochakachua kura za maoni ili kumwengua toka nafasi ya mgombea ubunge jimbo la Karatu?

  • Ukurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wasioona Tanzania ni cheo kimojawapo katika kanisa Katoliki?

  • Na ubunge wa Karatu kwa muda wa miaka 10 ni cheo ndani ya Kanisa Katoliki?
Kwa taarifa tu Dr. Slaa hakufukuzwa na Kanisa bali aliomba kujiuzulu kama wachungaji wengi tu ndani ya kanisa walioamua kufanya hivyo na kwenda kuwatumikia wananchi duniani kote.Yeye alifanya hivyo baada ya kugundua mapungufu mengi ndani ya uongozi katika jimbo lake la uchaguzi Karatu na kujitosa ulingoni ili kurekebisha uoza akiwa ndani ya CCM, lakini ni haohao CCM walioamua kumchakachua kwa sababu hakuwa "Mwenzetu" na ambao sasa wanaonja joto ya jiwe. Wapo wachungaji wengi tu walioamua kujitosa katika siasa ili kurekebisha mambo katika nchi zao, unamfahamu aliyekuwa Rais wa Haiti Aristide Pereira? Alikuwa Padri yule, na Rais wa Sasa wa Panama alikuwa Askofu wa Kikatoliki ambaye baada ya kuona wanasiasa wanaipeleka nchi arijojo aliamua kuvua majoho kwa kufuata taratibu na kujitosa kwenye mapambano.
 
Kwanza napenda kutanabahisha kwamba si kweli kwamba unampenda bali ni unafiki mtupu. Kwa kuangalia jinsi ulivyoipanga hiyo miaka ya upadre utafikiri amekuwa Padre kwa karne mbili! Ingetosha kusema tu alikuwa Padre kati ya mwaka 1977-1991 badala ya mlolongo mrefu usio na mantiki wenye nia ya ku-exagerate jambo. Tunajua fika wewe na wenzako kadhaa ni watu wa asasi chovu ya CCM inayoitwa TISS mliopewa majukumu ya kudumu ya kuleta confussion katika magazeti, vyombo vya habari na forums mbalimbali zilizojikita kuuweka wazi ukweli juu ya uhalifu na hujuma zinazofanywa na CCM na vibaraka wake dhidi ya nchi yetu Tanzania.
Hebu tusaidie kujibu yafuatayo:
Ni wapi katika katiba ya nchi hii immharamisha Mchungaji, Sheikh, Padre au Askofu kuwania nafasi yoyote ya uongozi?
Kanisa Katoliki lilishatoa mwongozo kwa mchungaji anayependa kujiunga na siasa ajiuzulu nafasi yake katika kanisa, na Slaa alifanya hivyo kabla ya kujiunga na siasa- kuna ubaya gani kufanya hivyo?
Mbona husemi hadi alipojiuzulu nafasi yake katika kanisa alikuwa kada mzuri kabisa wa CCM?
Mbona huwaambii watu kilichomkimbiza toka CCM ambacho ni ufisadi, u-mwenzetu, na kulindana katika mambo yanayolihujumu taifa na nchi?
Mbona hutuambii jinsi mlivyochakachua kura za maoni ili kumwengua toka nafasi ya mgombea ubunge jimbo la Karatu?
Ukurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wasioona Tanzania ni cheo kimojawapo katika kanisa Katoliki?
Na ubunge wa Karatu kwa muda wa miaka 10 ni cheo ndani ya Kanisa Katoliki?
Kwa taarifa tu Dr. Slaa hakufukuzwa na Kanisa bali aliomba kujiuzulu kama wachungaji wengi tu ndani ya kanisa walioamua kufanya hivyo na kwenda kuwatumikia wananchi duniani kote.Yeye alifanya hivyo baada ya kugundua mapungufu mengi ndani ya uongozi katika jimbo lake la uchaguzi Karatu na kujitosa ulingoni ili kurekebisha uoza akiwa ndani ya CCM, lakini ni haohao CCM walioamua kumchakachua kwa sababu hakuwa "Mwenzetu" na ambao sasa wanaonja joto ya jiwe. Wapo wachungaji wengi tu walioamua kujitosa katika siasa ili kurekebisha mambo katika nchi zao, unamfahamu aliyekuwa Rais wa Haiti Aristide Pereira? Alikuwa Padri yule, na Rais wa Sasa wa Panama alikuwa Askofu wa Kikatoliki ambaye baada ya kuona wanasiasa wanaipeleka nchi arijojo aliamua kuvua majoho kwa kufuata taratibu na kujitosa kwenye mapambano.

Word! I salute you!
 
hamna upupu hapo,tunapojadili hoja tuwe objective zaidi kuliko kuwa subjective,
mtoa hoja amejaribu kutoa data zake kwa undani zaidi, na alichoomba ni sababu zilizomfanya Dr Slaa kuipa kisogo kazi ya bwana(kama kwa hiari au la), sasa wewe unakurupuka tu na kuanza kumshambulia mtoa hoja.,au unafikiri JF ni ya wana cdm?,
semeni basi tuipotezee muwe mnajipongeza na kujisifia maupupu yenu mnayoyaeneza kwa wadanganyika.
So mpe sababu za dr kutimua vumbi madhabahuni.

kwani ukisema kazi ya Bwana una maana gani na hata Yesu hakuhudumu kanisani kazi ya Bwana ieleweke kwamba ni kuwahudumia watu esp wanyonge "to serve people" maskini, wajane, yatima, wagonjwa nk hiyo ndiyo kazi ya Bwana
 
Watu waliofilisika kisera huanza kuleta mada kama hizi, watu hawa
hupenda kulenga maisha ya mtu binafsi kuliko hoja. Hili swali ni lakizushi
kuangalia nani anaangalia hapa, nani anachangia.

Hata hivyo mleta hoja na wengineo hamtaweza kuuzima huu moto wala
kutuchanganya ili tusahau kujadili mambo muhimu kama ufisadi.

Mungu Ibariki Tanzania
 
katika kupitia pitia nimekutana nayo hii kwenye gazeti la mwananchi

Katoliki: CCM wajihoji kumpoteza Dk Sla
RAIS wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Mkuu Yuda Thadeus Ruwa'ichi amewaponda wanasiasa wanaotaka kuwafumba mdomo viongozi wa dini nchini wanaokemea rushwa, ufisadi na ukiukwaji wa maadili unaofanywa na baadhi ya viongozi waandamizi wa Serikali na vyama vya siasa.Ruwai'chi ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki, Mwanza pia amewajia juu wanaolihusisha kanisa hilo na ustawi wa Chadema akisema kuwa huo ni uzushi na kuwanyooshea kidole baadhi ya wanaCCM na baadhi ya waandishi wa habari aliosema hawapendi kuchanganua mambo na kuwa na uhakika nayo.

Askofu Ruwai`chi (pichani) alisema Kanisa Katoliki halikiteulii chama chochote cha siasa mgombea na akakipa angalizo CCM akitaka kijidodose juu ya sababu zilizomfanya Dk Willbrod Slaa kukihama na sasa kuonekana kama ni mtu anayekichanganya akili na kutaka iache alichokiita propaganda zenye malengo ya kuwagawa watu katika misingi ya dini.

"Kama Slaa (Dk Willbroad Slaa) alikuwa mwanaCCM akaikimbia. Sasa jifunzeni na kukumbuka historia, CCM wana mchango gani katika hilo la Dk Slaa kuikimbia, wakijibu swali hilo itakuwa vizuri sana," alisema akisisitiza.Askofu Ruwai'chi alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Parokia ya Kibaigwa, Dodoma muda mfupi baada ya kumpokea Askofu mteule wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Mhashamu Gervas Nyaisonga ambaye atasimikwa rasmi leo mjini Dodoma.

Kuhusu Kanisa Katoliki kudaiwa kuwa limekuwa likikiunga mkono Chadema, Askofu Ruwai'chi alisema kuwa hakuna ukweli wowote kuhusu uvumi huo na kwamba kauli hizo zimekuzwa na baadhi ya wanaCCM ambao wamekosa sera na kukurupuka kutoa kauli zisizo za msingi.

"Hizo ni kauli danganya toto, Kanisa halina chama, ila likibidi kuzungumza litazungumza kama lilivyokuwa likifanya kwa maslahi ya watu wote. Viongozi wa dini wasipozungumza watakuwa hawalitendei haki taifa, wanapaswa kusimamia haki pale inapoonekana kupotoshwa, kanisa halina chama," alisema Askofu huyo.Alisema Chadema ni chama chenye mkusanyiko wa watu wa dini na madhehebu yote, hivyo watu watumie akili zao kutafuta ukweli wa uvumi huo aliosema ni wa kupotosha.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki nchini alisema kila mtu ana wajibu wa kuhakikisha kwamba Tanzania inakuwa njema. Akaeleza kushangazwa kwake na wachache wanaotaka kupandikiza mbegu ya udini ambayo alisema kimsingi haipo nchini.

Alisema kauli kama hizo alizoziita za kichochezi pia zinajenga swali kuwa, huenda CCM ni chama cha watu fulani, lakini akasema kuwa wao viongozi wa dini na kanisa kwa ujumla kazi yao ni kuhakikisha maslahi ya taifa hayachezewi wala hayaendi kiholela, akisisitiza kuwa ni haki ya kila mtu kuwa na mtazamo tofauti wa kisiasa muhimu asivunje sheria.

Huku akisisitiza kuwa Tanzania haiendeshwi katika misingi ya falsafa za kidini wala madhehebu, Askofu Ruwai'chi alisema kuwa viongozi wa dini zote nchini wanapaswa kuzungumza na kukemea dosari za kiutendaji na kiuwajibikaji zinazofanywa na baadhi ya viongozi na watumishi wa umma na kwamba bila hivyo itakuwa ni kutowatendea haki Watanzania.

Alisema viongozi wa dini wanapaswa kuzungumzia matatizo yaliopo nchini, kuhamasisha haki, ukweli, amani na kushughulikia maendeleo ya watu wote bila kuogopa wanaowabeza na kutaka kuwaziba midomo kwa kisingizio kuwa wanaingilia Serikali.

"Kuzungumza siyo kuingilia, viongozi wa dini wana wajibu wa kutoa kauli na kuwashuhudia watu mambo mbalimbali yanayotokea katika nchi, wasipoongea watakuwa hawalitendei haki Taifa," alisema Askofu Mkuu Ruwai'chi.

Askofu Ruwaichi alisema kuwa viongozi wa dini mbali na kutunza dini, lakini wana wajibu mkubwa wa kusimamia mustakabali wa taifa kwa kuhakikisha wanakemea na kusemea mienendo ya kiovu ambayo kwa namna moja au nyingine, inaweza kuvuruga amani na umoja wa kitaifa.

Askofu mteule Nyaisonga atasimikwa leo katika Kanisa Kuu la Paulo wa Msalaba Mjini Dodoma na Rais Jakaya Kikwete pamoja na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa na viongozi wengine wa dini na madhehebu mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria.

Juzi, mamia waumini wa Kanisa katoliki walijitokeza na kuandamana kwa ajili ya mapokezi ya askofu huyo mteule aliyewasili majira ya saa 7:00 mchana Kibaigwa, Dodoma akitokea Mbeya ambako alikuwa akitumika katika shughuli za kitume akiwa Padri Daraja la Pili.
 
Kama tukiangalia wanasiasa wa Tz,wengi walikuwa sehemu fulani,wakaacha huko,wakaingia kwenye siasa.hakuna haja ya kumjadili Dr Slaa,aliyeacha upadre na kuingia ccm(hakushutumiwa kwa nini kaacha)kawa mbunge miaka 15,hakushutumiwa,kwenye urais tu ndiyo shida.Dr aliacha akaingia kwenye siasa bac.Tujiulize mama G rwekatare,kwa nini anang'ang'ania vyote?
 
The way ulivyo andika thread yako inaonekana ni mzandiki, wala hakuna hja ya kujibiwa kiungwana. Umeweka mlolongo wa miaka utafikiri alikuwa anaomba upadri kila mwaka! Huu ni upu*mb*avu.

Walio kutuma kawambie Dr. Slaa ndiye Rais ajaye full stop!

huyu ameongea nini? Ameisoma hiyo post. Inawezekana hata wewe huzijui sababu zilomtoa Dk slaa kukimbia madhabahuni, Ekeni wazi sababu za dk slaa kuacha kumtumikia Bwana na kuamua kumtumikia shetani.
 
Namba 4 katika CV, inanishangaza na inafanya niulize niseme?

1) Ana uzoefu wa kuongoza vipofu.

2) Jee, yeye anaona au nae ni kipofu mpaka akachaguliwa kuongoza vipofu? Kama jibu ni anaona, basi rudi namba moja.
 
Je kondoo wa Bwana walimshinda na sasa anataka awachunge watanzania? [/COLOR][/FONT]
Ni hayo tu

Mi nadhani ingekuwa busara kama Dr.slaa angemjibu mtoa mada, ili awatoe watanzania wasiwasi. ila kwa haraka haraka tu inaonyesha upadri ulikuwa ni kikwazo cha mambo mengi aliyoyatamani kama kuoa, kuwa rais au mbunge etc. msimlaumu sana upadri ni kazi ngumu iliyojaa vikwazo dhidi ya utashi wa mwanadamu.
 
Swali lako ni la msingi na huenda likajibiwa ila tegemea pia matusi ya Wafuasi wa CHADEMA au post yako kuhamishwa au wewe kufungiwa! we kama unataka hayo yasikupate basi ulitakiwa umsifie tu Slaa na Chama chake ndio salama yako!!!

hapo kwenye red yameshatimia, tusubiri hapo kwenye blue tuone, maana hii forum inaboa sana siku hizi.
 
Back
Top Bottom