C++ Question Help

C++ Question Help

Ngalewa

Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
97
Reaction score
11
Naombeni kujua output ya hilo swali.

c++.jpg
 
Andika Code fragment tuelewe hiyo picha hatuoni vizuri
 
Naona itaoutput 0, maana hizo variable sum na a ni zero na hakuna sehemu zinapo increment. Ulikuwa najaribu kufanya nini?
 
kwa upande wangu code hazisomeki ila kwa ushauri kwanini usizi run kwny computer yako uone output yake nini
 
#include <iostream.h>
#include <conio.h>
int main()
{
int a,n,j,sum
sum=0;
a=0;
for(n=0;n<4;n++)
{
for(j=0;<4;j++)
{
sum=sum+a;
}
}cout<<"average of the number is"<<sum;
getch();
retur 0;
}
 
Hilo ni swali tulipewa katika UE sasa nina kimeo na nahic hiliswali litarudiwa.
 
Hapa naona giza tu...ila next time ntakua na jibu...
 
Itaoutput 0 kama nilivyosema awali
 
Kwahiyo output ni zero ok nahis teacher atarudia swali hilo
 
console :disapointed:.... kwani we uki-compile>run unapata nini?
 
JF raha kweli ukichemka tu unakuja kusaidiwa siajabu ukakuta kang ndio mwalimu wako what a funny!..
 
Back
Top Bottom