C Programming: Programming language of the year 2017

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,786
Reaction score
35,747
Kwa mujibu wa mtandao wa TIOBE, C programming language imekua the top language kwa mwaka 2017, na hii imetokana na ukuaji wa uzalishaji wa viwanda ambao kwa namna kubwa C programming imekua ikitumika katika mitambo ya viwanda vya uzalishaji!

C imekua mhasimu mkubwa wa java zote zikiwa zinapokezana namba 1 na 2. Mpaka sasa java inaongoza ikifwatiwa na C na C++!! C imekua languaje of the year mwaka 2008 na mwaka 2017 huku java ikiwa language of the year mwaka 2005 na mwaka 2015!

Pamoja na hayo pia tumeona Kotlin ambayo mwaka jana ilipata idhini ya google kuanza kutumika kwenye android development ikipanda kutoka 89 mpaka 39, Erlang kutoka 44 mpaka nafasi ya 23 na R kutoka nafasi ya 16 mpaka ya 8!

Source: TIOBE Index | TIOBE - The Software Quality Company
 
c ni moja ya programming language ninazozikubali....kama ingewekana wazee wa programming tuanzishe thread kwa ajili ya programming languages
 
I language n kama backbone ya binadamu kwa programming languages
Ni kweli, japo kuna C++ lakini C bado inakimbiza tu!! Lakin cha kujiuliza ni kitu gan C inafanya alafu C++ haiwezi?? Kwann C iko juu kuliko C++ wakati C++ ilianzishwa kuzipa mapungufu ya C??
 
c ni moja ya programming language ninazozikubali....kama ingewekana wazee wa programming tuanzishe thread kwa ajili ya programming languages
Ni kweli C ni backbone ya languages nyingi kuanzia python, java mpaka C++!!

Ila kwann C++ inashindwa kui piku C wakati C++ ina features nying kuliko C??
 
C inaeleweka sana as machine language,c++ uboreshwaji wake ndio watu wanaona ipo bit wide than C,watu wanapenda vitu simple.
 
Ni kweli, japo kuna C++ lakini C bado inakimbiza tu!! Lakin cha kujiuliza ni kitu gan C inafanya alafu C++ haiwezi?? Kwann C iko juu kuliko C++ wakati C++ ilianzishwa kuzipa mapungufu ya C??
nakujibu kutokana na uzoefu mkuu, nafanya programming za micro controllers kwa kutumia assembly,C na C++
say unafanya project same kwa language izo tatu, utaona kwamba output file (hex) iliyotengenezwa na assembly ina memory ndogo, ikifuatiwa na C then na C++
pia compilation time iko fasta kwa assembly then C then C++
wakati huo huo assembly utatumia 'lines of codes' nyingi kiasi kwamba project inakua ngumu kuimanage, ndio maana 'C' comes as 2nd choice

-kiukweli C ndio backbone, maana C++ imetokea uko, kuna bunch of functions katika C zimekua 'piled up' pamoja na kutoa function moja ambayo utaikuta katika C++

-japo C++ ni OOP ina advanced features ndani, ila bado wawezatumia C kufanikisha zoezi zima kuokoa ' program memory + dynamic memory + processor speed optimization'
 
Unafanya assembly!!?

Man no,I hate that language. Iko complicated sana, Syntax sio user friendly kabisa.

Mimi naendelea kukomaa na Java na Python...
 
I love c programming language kwa kweli. Though ninaweza ku-program kwa Pyhton na C++ but I like C language coz ni language nzuri kwa kuanzia. C++ ni very complex kama hutafuatilia syntax zake.
 
Very interesting mkuu!! comment nzuri sana hii!
 
I love c programming language kwa kweli. Though ninaweza ku-program kwa Pyhton na C++ but I like C language coz ni language nzuri kwa kuanzia. C++ ni very complex kama hutafuatilia syntax zake.
Ila it it all come down to what you want to do, personally nilianza kujifunza C++ it is very cool pia iko so robust na kuna mengi unaweza yafanya kwa c++ na ukashindwa kuyafanya kwa java mfano direct multiple inheritance!! c++ ni ngumu ila ni language ambayo ina nguvu sana!
 
Unafanya assembly!!?

Man no,I hate that language. Iko complicated sana, Syntax sio user friendly kabisa.

Mimi naendelea kukomaa na Java na Python...
nafanya assembly kwa micro controllers kwa baadhi ya project, mnemonics(assembly based lang) ndo hua naitumia sana in programming plc's, ni kweli sio user friendly ila katika ku optimize speed ( background process kama timing interrupts() ) , hii ni 'way to go'
 
C ni popular ndiyo ila siyo language of choice kwa mambo mengi. Inafit niche yake vizuri na itaendelea kukaa hapo for a long time labda hadi tutakapopata a different eay of computing mfano kwa kutumia quantum computers.

C inafit kwenye hardware programming, mambo ya drivers e.t.c, very perfomant dependent projects kama kuandika operating systems, web browsers, programming languages au just anything that wants to talk directly to the metal mfano microcontrollers. Nje ya hapo kutumia C si ujanja ni ujinga sababu C while ni ndogo na ina very simple syntax, tatizo kubwa ni kua unafanya kila kitu manually, yaani kufanya kitu kidogo unajikuta unaandika code kibao na inachukua muda sana kuandika na kufix bugs kibao. Mfano mtu anayeandika web application server in C amedata, kuna languages nyingi sana better for that kinda work na very perfomant.

The right tool for the job.
 
Nimependa hiyo sentensi yako ya mwisho...

Kuna mitandao kama fb, quora, google na mingine mikubwa kwenye moja ya languages wanazotumia at the back end, apart from php au python, unakuta wanaweka na c au c++..yaani wanatumia zote mfano python au php na c au c++....hii nayo imekaaje??
 
Sababu kuu ni kuwa C ni system language na data centers ndiyo system yenyewe.

Huwezi kutafuta data kwa haraka kwenye computer 100,000 kwa kutumia interpreted language kama PHP huku ukitegemea php engine ikufanyie garbage collection, huo mtandao utaganda.

Unapokuwa unatafuta data kwenye mashine nyingi na kwa haraka unatakiwa uwe karibu sana ki lugha na mashine hizo. Unatakiwa uwe na uwezo wa kutumia memory vizuri na C imeundwa kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom