C.C.M hakitakubali kufukuzwa kwa Kafulila

CCM ndio wanaomlipa Mbatia na ndiye aliyepiga kampeni ya fedha na kufanikiwa kumfukuza Kafulila sasa iweje tena wasiafiki aliyoyafanya kibaraka wao? Kuhusu jimbo Kafulila kashika mpini kule Kigoma kwani hata akigombea na JK au akajiunga na chama mufilisi kama TADEA bado atashinda kwa kishindo na si lazima atokee CDM

Hivi nini kilimpata Dr Walid Aman Kaboru???? Mpini ulienda wapi? Je Romani Masumbuko Lamwai Mpini ulienda wapi??? Siasa ni wakati ukicheza nao vibaya unaweza kujikuta huna mpini una kipisi. Vijana lazima wajifunze kupambana na mabadiliko, huwezi kuwa na matatizo kila uendapo lazima kujifunza leadership skills. Ukiona kila mahali wewe ndie unakataliwa basi unatatizo ndio ni kweli Mbatia pandikizi ila hili linajulikana siku nyingi hata kabla kafulila hajaenda NCCR.
 
Ndio maana Mbatia kajigungulia, dawa ni kuwa mnafiki tu.
 
Karata zinachangwa sasa sijui nani atalamba dume............................................................. CDM, CCM, NCCR au PPT Maendeleo
 
Hebu fafanua zaidi mkuu, inaonekana una la zaidi unalolijua. Umemsikia Tendwa aliyoyatoa kupitia Radio Cloud?. Eti Nccr wamekosea kumfukuza Kafulila na badala yake wangekosoana tu. CCM yajenga nchi.
 
Hadi leo iko wapi barua ya kufukuzwa kwake ubunge kwa Spika wa bunge?.

Nini sababu ya kutokuandikiwa barua yake. ni kwa vile mwisho wa mwaka wachaga wote wanaenda Moshi kuhesabiwa na kwa hiyo ofisi za NCCR zitakuwa zimefungwa?.

Ni nini sababu hasa?. Mwenye sababu azimwage hapa jamvini.
 
Yap, Siasa za Bongo dawa ni kuwa Mnafiki tu... haya mengine tunadanganyana hapa JF..
 
Yap, Siasa za Bongo dawa ni kuwa Mnafiki tu, usipokuwa wewe mwenzako mnafiki sasa hapa kweli tutafika?..haya mengine tunadanganyana hapa JF..
 
Hebu fafanua zaidi mkuu, inaonekana una la zaidi unalolijua. Umemsikia Tendwa aliyoyatoa kupitia Radio Cloud?. Eti Nccr wamekosea kumfukuza Kafulila na badala yake wangekosoana tu. CCM yajenga nchi.

...yajenga nchi kwa mchanga,na kuiba cement!
 
Kafulila hajafukuzwa ma bunge linaendelea kama kawa. CCM bwana hawawezekani hadi wamempa zawadi mwenyekiti wake Mbatia kwa usikivu na utii wa kutokumfukuza Kafulila.
 
Kama huna taarifa ni kwamba, kinachofanya Kafulila aendelee kuwa bungeni hadi leo ni kwamba alifungua kesi mahakamani kupinga kufukuzwa kwake , na kesi hiyo bado haijaamuliwa. Lini mtaacha kuandika mambo ya upotoshaji?
 
Back
Top Bottom