mshana jr na bysange wikendi huwa naratiba ngumu sana hata mda wa kupita mitaa ya jf inakuwa kazi kweli kweli lakini sio kwamba nafichwa wakuu wa kazi ha!ha!
Mimi kama nampa huyo wako namwambia Mama watakaosema nimerogwa waseme, mimi shughuli zote nitafanya kuanzia kusafisha nyumba, kumfulia hadi nguo za ndani, kupika sijui ila hapo NTAjifunza halafu nakuwa napika mimi, mwaka mzima ikiwezekana hata miaka mitatu sitoki nje Twarambana tu.
NAPITA unaweza kufanya kama mimi ukimpata kam huyo?