AshaDii.........thanks ila ndo hivo mkandarasi wa moyo wangu amenikana live,hata nikisema nampenda oni langu
si la msingi.
ama kweli sumu pia inaweza kuwa chakula
Na kweli, asante kwa kunipa kakako aisee. Manake ningedodaje? Hizi slacky slacky hapan taka. Nataka anaejua kukata mawimbi kuliko shark. Kitu nyangumi lol