snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,162
ndio mkuu , reason moja wapo ni kwamba inakaa na chaj siku nne, hapo umerun,kila kitu kuanzia whatsapp hadi email notifications, bila kusahau fb ya ndan kwa ndan
Naomba namba Ya Revo please!
ndio mkuu , reason moja wapo ni kwamba inakaa na chaj siku nne, hapo umerun,kila kitu kuanzia whatsapp hadi email notifications, bila kusahau fb ya ndan kwa ndan
Hivi bado mnatumia windows phone mpk miaka hii..
Habar..anaejua kurequest mpesa au tigopesa au chkbombastic kwenye windows phone. Anisaidie.
Inafanya kazi after uninstall/reinstall
Wakuu nahisi whatsapp haitapatikana tena kwenye windows phone maana naenda sikuvya 3 leo kitu kinanigomea.. Vp kwenu?
hivi window phone mnazpendea nini"?? android ndio mwisho wa matatizo.