Bye bye Vodacom. Mimi bado nina maisha ya kati

Screenshot_20200127-230457.png

Nasindikiza na ka picha
 
Ulitakiwa uwe smart.

Utahama kila siku, hii mitandao wanabadilishana ujinga tu.

Mimi nimefanya hivi;

Internet najiunga smile kwa mwezi nalipa 250,000 kwasababu natumia sana internet.

Sms najiunga ya voda 2000, unlimited mwezi mzima.

Kupiga najiunga Super Uni ya week 2,500, inatosha sana.

Watu wengine wa karibu nimewaunga tigo family, naongea masaa bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nanunua kifurushi cha Vodacom GB10 ili nitumie kwa mwezi mzima. Cha ajabu ninatumia tu kwa siku 21 halafu inakata tofauti na wengine kama halotel ambao ukinunua GB10 kwa mwezi watahakikisha kuwa unazitumia kwa siku 30 kamili ndipo unanunua tena.

Wenyewe hawajali matumizi wenyewe wanajali siku 30. Unaweza kutumia kifurushi hicho hata masaa 15 kwa siku wenyewe wanajali tu siku 30. Kwa nini Vodacom hawabadiliki?.
 
Back
Top Bottom