Bye bye Jacob Zuma, times up, Wazungu wanakuondoa!

Bye bye Jacob Zuma, times up, Wazungu wanakuondoa!

That is true
Our 'black' leaders wanajua wazi kuwa ndani ya Africa hakuna wa kuwawajibisha once crimes are committed (they are of the same color). The so called AU ni bunch of power mongers tu, non active machine.
 
1478635250187.jpg
 
Mi naumia sehemu moja tu
kwanin bara la afrika wanaogombea urais wote ni maskini na akitoka ni tajiri
lakin marekani anaegombea urais ni mtu tajiri na akitoka ameongeza utajiri wa nchi yake na si kuupunguza....
Ni kwasabab hatuna katiba nzuri.katiba nyingi zinawapa nafas watu wasiostahili kushika madaraka.
 
Kuna muda tunawapa wazungu dhambi ambazo ni unjustifiable.
J. Zuma as a leader anayo mapungufu yake, of which the people of South Africa wanayo haki ya kudai masuala kupitia maandamano.

Has he been very clean kiasi kwamba hapaswi kupingwa na wananchi?
Uliyoandika yana mantiki. Tatizo lipo kwenye 'Kiswanglish' tu. Tafadhali ndugu naomba ujitahidi kuandika kwa lugha moja bila kuchanganya na lugha nyingine. Tuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili kwa kuandika kwa ufasaha bila kuchanganya na Kiingereza.
 
Samahani...naomba uliza ni makosa kwa Rais kutangaza pesa zote inazotengeneza nchi kwa kila mwezi....maana huyu wa kwetu anajua yeye tu na mke wake.....sasa UZUMA ukitokea nani atatoa vidhibiti....au wakina zitto na tundu lissu.....????
 
Rushwa kinachomuondoa ni rushwa na embezzlement basi
Juzi juzi tu mahakama mkuu imemuamuru kulipa gharama zote za ujenzi/ukarabati was Nyumba yake leo unasema wazungu,embu acha kuwapa fdhambi za kijinga basi
Acha kupotosha umma
 
Mzungu hawezi kukubali kupoteza Afrika hata siku moja na wewe J.Zuma unajaribu kumyang'anya Mzungu tonge mdomoni kwa kuanza kujitoa ICC, sasa Mzungu ana hit back, na maandamamo yameshaanza na ninavyosikia baadhi ya heavy weights wa ANC wameshanunuliwa na sasa hawakutaki, kaa mkao wa kula muda umefika!

Nitakukumbuka Zuma kwa matukio ya ushujaa umeanzisha kampeni za kuondoa masanamu yote ya Kizungu, umeingia mkataba ya kujenga Nuclear power plant ambapo itaipatia AK Nishati ya uhakika, Wazungu hawataki hili, pole sana najua ndugu zako house niggas watakugeuka na kuwa upande wa Mzungu kama kawaida yao!

Amandla!!!

Afrika ni mtoto wa Muzungu!

President-answers-questions-in-parliament.jpg

wakimaliza huko waje na kwa huyu kipara wetu
 
Sababu wanazotoa ni za kijinga sana maana Hakuna kiongozi yoyote wa kiafrica aliwahi kukamatwa na kuonewa na ICC wote wanakamatwa kwa taratibu za kimahakama kesi zinaendeshwa kwa wazi na haki na hukumu zinatolewa asiyeridhika bado anapewa haki ya kukataa rufaa. Viongozi wazungu baadhi walishafikishwa huko pia kama Slobodan milisovich na wengine. Kama wapo ambao wanapebdelea viongozi wa Africa walitakiwa kukusanya ushahidi na kuuwasilisha ICC Ili wakamatwe. Kujitoa ni kuhalalisha uhalifu wa kivita ambao kwa Africa umekithiri sana. Inashangaza kwa nn Al bashir wa Sudan hakamatwi na viongozi wa kiafrica na kupelekwa the Hague?

Ni vyema tungekuwa wa kweli kama wana wa Africa.
Hivi George Bush Jr. pamoja na Tonny Blair walivyo toa amri ya uvamizi wa kijeshi IRAQ kwa kisingizio cha silaha za maangamizi, hatimae hizo silaha hazijapatikana mpaka leo hii, na kaacha maelfu ya watu kufa, je kwa nini wasifikishwe kwenye hiyo mahakama ya kimataifa (ICC). Hata kama nchi zao hazijaridhia mahakama hiyo lakini bado nchi hizo ni wanachama wa Umoja wa Mataifa.
 
We jamaa hata mke wako au mumeo anavyochepuka kwa sabab humridhishi unasingizia wazungu. Mnafanya mambo ya kijinga mnakimbilia kulaumu wazungu. Huu ni ukilazah mkubwa sna wa waafrika na waarabu. Wamekuwa mambumbu kwa miaka mingi sana. Kila kitu ni wazungu.

Mzungu hawezi kukubali kupoteza Afrika hata siku moja na wewe J.Zuma unajaribu kumyang'anya Mzungu tonge mdomoni kwa kuanza kujitoa ICC, sasa Mzungu ana hit back, na maandamamo yameshaanza na ninavyosikia baadhi ya heavy weights wa ANC wameshanunuliwa na sasa hawakutaki, kaa mkao wa kula muda umefika!

Nitakukumbuka Zuma kwa matukio ya ushujaa umeanzisha kampeni za kuondoa masanamu yote ya Kizungu, umeingia mkataba ya kujenga Nuclear power plant ambapo itaipatia AK Nishati ya uhakika, Wazungu hawataki hili, pole sana najua ndugu zako house niggas watakugeuka na kuwa upande wa Mzungu kama kawaida yao!

Amandla!!!

Afrika ni mtoto wa Muzungu!

President-answers-questions-in-parliament.jpg
 
ulichoandika sio kweli Mkuu,Zuma amechokwa kwa siasa zake mbovu na rushwa kuongezeka uchumi umeshuka sana wawekezaji wa nje pia wamekimbia analaumiwa kuikumbatia familia ya Gupta kupewa tenda nyingi serikalini na mmoja miezi kadhaa alimtunuku uwaziri wa fedha..Zuma anakabiliwa na kesi 780 kutokana na ripoti ya Public protector iliyopo mezani sasa hivi, ishu ya ujenzi wa Nkandla na mengine mengi usiongee kitu hukijui mkuu..
 
Zuma hana tofauti na chama chetu chakavu kila ufisadi yupo istoshe hata viongozi wengi wa ANC ni wala rushwa ndio mana walimtoa mbeki ili waibe vizuri
 
Ana roho ya paka huyu atasurvive
Jayz hataree..
Anaitwa political smooth operator...
Mchizi ni street politics guru na hustler..
Alitia fitna na udambwi wa kisiasa hadi akamsepesha Thabo ikulu..
Yaani thabo,mandela 's chosen golden boy..
Mwogopeni Zuma nyie..
Kyala ikubhabona....
 
Issue sio kujitoa issue ni kwamba mahakama hii ya kipuuzi haikamati wazungu mfano Sakorzy na Cameroun waliua kule Libya walitakiwa kukamatwa na report ipo ila hawajakamatwa ila wakisikia afrika wanakuja haraka...wajinga sana icc japo kweli viongozi wetu ni tatizo
 
mleta uzi sometimes unakuwaga kama mtu mwenye utindio wa ubongo. wazungu ndiyo walimtuma aibe mali ya umma?wazungu ndiyo walimtuma awe mbakaji?
 
Issue sio kujitoa issue ni kwamba mahakama hii ya kipuuzi haikamati wazungu mfano Sakorzy na Cameroun waliua kule Libya walitakiwa kukamatwa na report ipo ila hawajakamatwa ila wakisikia afrika wanakuja haraka...wajinga sana icc japo kweli viongozi wetu ni tatizo
una hakika hao wakina sakozi ni memba wa ICC?
 
Back
Top Bottom