deez_811
Senior Member
- Jun 24, 2015
- 198
- 214
JZ hawezi kutolewa nje ya ikulu sababu wanaenda bungeni kuvote "on no confidence against Zuma" hasa baada ya maswahiba wake "Guptas" kuwa na nguvu ya kuoffer nafasi ya uwaziri wakati ni rais tu ndiye mwenye mamlaka hayo! Okay wabunge watavote but usisahau kuwa majority ya wabunge wa bunge la SA wanatoka ANC so JZ hawatamng'oa anaback up kuwa sana kuliko upinzani atatoka akimaliza muda wake 2019