Bye Bye Didier Yves Drogba

Afande Fojuman

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
650
534
Didier Drogba, bye bye.!

Maisha ya Soka ya Didier Drogba Yamefikia Kikomo Jana Kwa Kichapo Baada Ya Klabu Yake Ya Phoenix Rising kufungwa 1-0 Dhidi Ya Louisville City kwenye Fainali Ya kombe La USL jana Usiku.

Nyota huyo wa zamani wa Chelsea mnamo mwezi Machi alitangaza kwamba atastaafu kucheza soka baada ya kukipiga katika vilabu vya Le Mans, Guingamp, Marseille, Shanghai Shenhua, Galatasaray na the Montreal Impact.

Mataji yake sasa : Mataji Manne ya EPL, Manne ya kombe la FA, Moja la Ligi kuu ya Uturuki na moja la kumbukumbu nzuri baada ya kufunga goli la jioni la kusawazisha na hatimaye kutwaa taji la UEFA kwa mikwaju ya penati.

1x Champions League
4x Premier League
4x FA Cup
3x League Cup
2x Community Shield
2x PL Golden Boot
1x Süper Lig
1x Turkish Cup
1x Turkish Super Cup
2x African POTY
1x Turkish POTY
drogbapl.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom