Bye Bye Chit-Chat..Bye bye JF

Bora umeondoka ulikuwa kiwungu
 
i don't get any connection here,more clarification is needed
ahh sorry mie nilikuwa nasoma signature yako tu so sina ufafanuzi zaidi mzima lakini weweeee?
 
Si pasword unayo dia zama tu kwa account yangu!!!
japo paswd yako ninayo na yangu unayo lakini usalama wako upo mikononi pangu zaidi ya hayo ujue juhudi zangu zinahitajika.
 
Washangae dia!!!
wakati nimepauka walikuwa hawanioni....
yaani mie ndo nashangaa kabsaaaaaaa!!! hapa nimejifunza kitu ile meza yako ya vipodozi inabidi tumuuzie King'asti hapa ndani haitufai kabisa(kwa usalama wa ndoa yetu)
 
Last edited by a moderator:
Pole daddy...

Mkuu Donn mbona unataka kuharibu status ya daddy angu??? Au wataka mummy measkron afe kwa presha??? Tafadhali futa kauli yako!!!!

Bora mwanangu charminglady na wewe umeona, ndo mjifunze ndoa zataka uvumilivu wa hali ya juu na maombi bila kikomo, Praying for your husband and family ni muhimu. Huyu Donn wacha kabisa fujo aisee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…