Ushoga kwa mazuri... au unanionea gere me kuachika na kupata mtasha???? Kama unataka unga tela la threesome!!!
asante my adorable Palomacharminglady hujambo? mie nimeletewa chamaki nchanga gunia, mwenzangu umeletewa nini!!?
msalimie Rich woman ntamgawia walau debe!
Anasema tu ili kukupa presha na kukukasirisha bure wala hakuna kitu kama hicho kama huamini fanya uchunguzi kwanza..mbana Tonykp anasema wewe ni mpenzi wake mh? ujue wewe ndio umefikisha like yangu ya elfu kumi
Anasema tu ili kukupa presha na kukukasirisha bure wala hakuna kitu kama hicho kama huamini fanya uchunguzi kwanza..
Ooh zimefika elfu kumi wow nafurahi kwakuwa yangu imekutimizia hiyo idadi
asa sasa c.c.b na mke wapi na wapi
mwayego fanya kazi yako kama nilivyo kuagizaUshoga kwa mazuri... au unanionea gere me kuachika na kupata mtasha???? Kama unataka unga tela la threesome!!!
kaa mbali na huyo Donn huwa ni hatari sana anamaneno matamu kama asali chunga usiingie mtegoni.
kazi njema sie utatukuta kwa kudra za mwenyezi Mungu.
charminglady atakayo kuambia usisahau kunifoadia.mmh hebu ngoja nizame pm umenigusa pabaya!!!!
wewe huoni wake wa watu wanavyo kufata fata?Khaaa.. Kijana kisa Evelyn Salt au? We maneno yangu matamu umeyasikia wapi?