ID???!! Kuwa na Imani Arif.. Niikimbie hii ID Kwani nadaiwa?
yani nimekumisi ndo unaishia sawa bhana shemeji
hapo kwenye etc etc nazani namimi Slave nimoNi utamaduni wetu kupiga hodi pia kuaga wakati wa kuondoka...Dah, natamani sana kuendelea kuwepo CC na JF kwa ujumla. Lakini majukumu yameniandama, lazima nisepe kwa muda... Nitawamiss sana ndugu zangu noahism Leah Brown mimisa na wengine wengi... Tuombeane uzima tu.. See you on March ndugu. Bye Bye CC Bye bye JF.
copy to All C.C.B Members. charminglady Madame B watu8 Evelyn Salt Paloma Arushaone etc etc
uniletee dhawadi!!!
Nakala kw Slave........ Kazi unayo kaka:target::target:
at!!!?????? mbona sisikii vizuri umesemaje?mmh Donn unaniachaje sasa???
hapo kwenye etc etc nazani namimi Slave nimo
at!!!?????? mbona sisikii vizuri umesemaje?
Evelyn Salt umewahi kuangukiwa na ngumi yenye ncha kali wewe?? wewe unataka akuachaje?