DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,635
- 81,535
Kwanini samia amemtema?nilikuwa offline Ila nimepata taarifa yule Kijana anajiita Byabato katoswa na sisiemu.
Ikiwa kweli , namshauri arudi katika kazi ya zamani ya uwakili
Hilo jimbo la Bukoba mjini hata uwape nini Kama hawakutaki ,hawakutaki.
Nape ameshindwa kumsaidia?nilikuwa offline Ila nimepata taarifa yule Kijana anajiita Byabato katoswa na sisiemu.
Ikiwa kweli , namshauri arudi katika kazi ya zamani ya uwakili
Hilo jimbo la Bukoba mjini hata uwape nini Kama hawakutaki ,hawakutaki.
Alikuwa anajisahau then hawa sio wazawa wa Bukoba Mjini hata kiswahili hajui kuongeaKwanini samia amemtema?
Pia bora wamemkata juu kwa juu Kama angetoboa asingeweza kurudi bungeniShida siyo Bukoba. Shida ni wenye ccm yao (familia za Kikwete, Samia na Mwinyi) ndiyo hawamtaki.
But Jamaa aliongea point though alipanic sana sijui kilimkuta niniKwanini samia amemtema?
Ego ndo imemponzaBut Jamaa aliongea point though alipanic sana sijui kilimkuta nini
aaaaa Wakili ni mwana ccm Haji ataacha kua mwana ccmnilikuwa offline Ila nimepata taarifa yule Kijana anajiita Byabato katoswa na sisiemu.
Ikiwa kweli , namshauri arudi katika kazi ya zamani ya uwakili
Hilo jimbo la Bukoba mjini hata uwape nini Kama hawakutaki ,hawakutaki.
Lakini mboni alikua poa tu shida ni nini aligoma kua chawa akataka ajipige kifua mwenyewe wakati bila kua chawa km FA hutoboiEgo ndo imemponza
Hapo sawa maana ni good guy hana mbaya hii mtu wakolawaito?Byabato hajapoteza,
Anarudishwa makao makuu TISS kutumikia majukumu yake mengine
(probably idara ya ulinzi WA Raisi)
Maana Kabla ya kua uwakili, alikua kikosi Cha ulinzi WA makamu wa raisi (pindi maza hajawa Raisi),
Kisha akahamishiwa idara ya siasa, mambo ya nje kule TISS.
Kisha ndo akaenda kua wakili WA serikali kule bukoba
Hivi hizi taarifa mna zitoaga wapi?Byabato hajapoteza,
Anarudishwa makao makuu TISS kutumikia majukumu yake mengine
(probably idara ya ulinzi WA Raisi)
Maana Kabla ya kua uwakili, alikua kikosi Cha ulinzi WA makamu wa raisi (pindi maza hajawa Raisi),
Kisha akahamishiwa idara ya siasa, mambo ya nje kule TISS.
Kisha ndo akaenda kua wakili WA serikali kule bukoba
Byabato aliingizwa kwny siasa Kimkakati.Hapo sawa maana ni good guy hana mbaya hii mtu wakolawaito?
Kijana yupo vizuri namkubari hata km wamemkataByabato aliingizwa kwny siasa Kimkakati.
Byabato ndo kaconfirm kipara apotezewe na maza, aliwekwa nae wizara Moja Kimkakati ili kumspy.
Kipara na MOses walimuingiza kwny cycle Yao na kumuamini 100%, Kisha kawakaanga
Hakuna anaewaonea huruma km kula hela wapo watakaokula mpaka wakiwa kaburini walee waliowekwa peke yao peke yao yaan watazitafuna mpaka wakiwa wamefukiwa CHINIIvi kuna haja gani ya kuwajadili hawa wabunge wakati hamna kitu wanachotusaidiaa zaid ya kula hela za bure wakuu??kwanin hata tunawaonea huruma kiasi hiki?
Sahii kabisa mkuHapo sawa maana ni good guy hana mbaya hii mtu wakolawaito?
Bukoba huwa mbunge wanampenda mwanzo tu baada ya hapo hawamtaki hata alete maendeleo. Nilikuwa nawauliza kinachowafanya wamchukie wanadaie eti anaringa.nilikuwa offline Ila nimepata taarifa yule Kijana anajiita Byabato katoswa na sisiemu.
Ikiwa kweli , namshauri arudi katika kazi ya zamani ya uwakili
Hilo jimbo la Bukoba mjini hata uwape nini Kama hawakutaki ,hawakutaki.