Uchaguzi 2020 Bwege na Chaurembo wanaisambaratisha na kuifuta CCM mikoa ya Kusini

..wao wanasisitiza DHULMA iliyofanywa na CCM kwa mikoa ya Kusini.

..CCM isipokuwa makini itafutika mikoa ya kusini kama ilivyofutika Pemba.
Hamna kitu kama hicho. Yaani upinzani haupati hata majimbo mawili kusini yaani Mtwara na Lindi.
Mimi ni mdau wa kusini
 
Uchaguzi mgumu kwa CCM labda JWTZ liamuriwe kuondoka na maboksi ya kura za CHADEMA zibaki za ccm ili zihesabiwe
Haa haaa mumeanza kujambajamba stend, kama mnajua hao jwtz wanaitwa kupeleka mabox yenu, kwa nini mnakubali kushiriii uchaguziiii?

Wazeee wa kiki bwana, sijui akili zenu zikojee,
 
Kusini sasa mwaka huu ndio mwaka wa kufanya mabadiliko na kuchagua viongozi wao.
Kilwa lilikua ni dola kubwa Mpaka karne ya 15.
Serikali za wakaoloni wa Kijerumani na Kiingereza zilizoizaa CCM kimkakati wa kuua Maendeleo ya Kielimu,kidemokrasia, kiuchumi na kisiasa zimeendelea kuifanya kusini kuwa nyuma kimaendeleo kwa uwazi kabisa.
Gesi ilipoonekana italeta mabadiliko Makubwa ya kiuchumi kusini CCM waliamua kuua miradi ya gesi ili watu wa kusini waendelee kujuta kwa kukataa kutawaliwa kibabe tangu Ukoloni.

Dangote alipoletwa na Kikwete ili aendeleze viwanda vya sementi ili ishike bei watu wa kusini wajenge nyumba bora na kupata ajira ,Serikali ya CCM awamu ya tano ilimwekea vikwazo vingi kinyume na mkataba uliomvutia Dangote kuwekeza . yote ni ili kusini ibaki kwenye mkakati wa Wakoloni kubaki nyuma kwa kukataa ukoloni na Serikali za mabavu.

Korosho ilipoonekana inawaletea maendeleo watu wa kusini na kuweza kujenga nyumba zao na kuwasomesha watoto wao CCM iliwanyanganya pesa zao za korosho na korosho kupitia Jeshi liliotumiwa vibaya na watu walioshiba kuwadhulumu wenye njaa.

Sasa Kusini wanaendelea kukataa suala la kuchaguliwa wabunge na upolepolepole na Ubashibashiru kutoka Rwanda.

Uliona wapi kuku akiuzwa sh. Laki moja.

..kusini wameanza KUPIGWA zamani sana.

..Ilianza vita ya MAJIMAJI wakati wa Mjerumani ambayo ilikuwa kama genocide huko kusini.

..kipindi cha Muingereza watu wa kusini walikuwa wanakamatwa MANAMBA kulima mashamba ya mkonge.

..ilipokuja utawala wa Tanu wakapigwa kwenye OPERESHENI VIJIJI, zao la korosho lilianguka wakati huo.

..ilipoingia CCM kwa muda mrefu ikawa imeitelekeza mikoa ya kusini kimaendeleo.

..lakini wananchi wa huko wakapokea kipigo wakati wa mgogoro wa kuleta GESI toka Mtwara kuja Dsm.

..majuzi tena wametumiwa jeshi kwenda kuwanyang'anya KOROSHO yao.

..hakuna utawala ambao haujawafanyia jambo la kikatili wananchi wa kusini.

cc THE BIG SHOW
 
Kipindi huwa Ni kizuri sana kuondoa stress,mwisho wa siku watu wanasema wameibiwa kura
 
Pembeni yake naona Tanki kubwa la maji halaf anasema CCM HAIFAI. Huyu bwege kweli

Mje kujibu hoja za gesi,korosho kuporwa na jeshi,kupora shilingi 281 Billion za kuendeleza zao la korosho,kuporomoka kwa bei na kukosekana kwa soko la korosho,ufuta na mbaazi.
Watu huku wanapiga kampeni mtu kwa mtu, nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa na kijiji kwa kijiji agenda kuu zikiwa ni hizo. Serikali ya Magufuli imeturudisha watu wa Kusini kwenye ufukara amabako tulishatoka. Tunadidimizwa kwenye ufukara halafu tunachekwa eti ni wavivu.

Watu tulirudi kuja kuwekeza nyumbani na wengine kuja kufanya kazi nyumbani baada ya maisha kufunguka lakini tokea ameingia Magufuli tunajuta maana hali zimekuwa mbaya sana.
 
Hali ni mbaya CCM kusini chama kinateketea Kanda ya kati Chama kimefutwa na Nyalandu kanda ya Ziwa tumejionea wenyewe ngojeni na Geita vumbi kitakalo timka Msukuma amezomewa yaani mambo muruwaa

Zanzibar CCM ni kama waizi au ni waizi wa haki za Wazanzibari lakini jumuia za kimataifa zinaangalia zaidi Visiwani ndio itakuwa 'spark' ya machafuko yatakayoigubika Nchi nzima

Hapa kuna misaada kukatwa na vigogo kupekwa ICC huko The hague
 
Pembeni yake naona Tanki kubwa la maji halaf anasema CCM HAIFAI. Huyu bwege kweli

..Korosho?

..Mbaazi?

..Ufuta?

..Uvuvi?

..Hayo ndio maisha ya wananchi wa Kusini.
 
..wao wanasisitiza DHULMA iliyofanywa na CCM kwa mikoa ya Kusini.

..CCM isipokuwa makini itafutika mikoa ya kusini kama ilivyofutika Pemba.
Wakipata wabunge wengi huko wanakua ndo kambi rasmi ya upinzani bungeni.......kila mtu anatupa karata zake sasa ,wale wanaongoja kura za huruma wanaweza pata suprise bunge lijalo
 
Wakipata wabunge wengi huko wanakua ndo kambi rasmi ya upinzani bungeni.......kila mtu anatupa karata zake sasa ,wale wanaongoja kura za huruma wanaweza pata suprise bunge lijalo

..inaweza kuwa three-way race.

..vyama vitatu vikagawana kidogo kidogo.

..heshima miongoni mwao itarudi.

..vitalazimika kufanya kazi pamoja.

..usiangalie chama gani kitashinda, angalia kama WANANCHI tutashinda.
 
Kusini sasa mwaka huu ndio mwaka wa kufanya mabadiliko na kuchagua viongozi wao.
Kilwa lilikua ni dola kubwa Mpaka karne ya 15.
Serikali za wakaoloni wa Kijerumani na Kiingereza zilizoizaa CCM kimkakati wa kuua Maendeleo ya Kielimu,kidemokrasia, kiuchumi na kisiasa zimeendelea kuifanya kusini kuwa nyuma kimaendeleo kwa uwazi kabisa.
Gesi ilipoonekana italeta mabadiliko Makubwa ya kiuchumi kusini CCM waliamua kuua miradi ya gesi ili watu wa kusini waendelee kujuta kwa kukataa kutawaliwa kibabe tangu Ukoloni.

Dangote alipoletwa na Kikwete ili aendeleze viwanda vya sementi ili ishike bei watu wa kusini wajenge nyumba bora na kupata ajira ,Serikali ya CCM awamu ya tano ilimwekea vikwazo vingi kinyume na mkataba uliomvutia Dangote kuwekeza . yote ni ili kusini ibaki kwenye mkakati wa Wakoloni kubaki nyuma kwa kukataa ukoloni na Serikali za mabavu.

Korosho ilipoonekana inawaletea maendeleo watu wa kusini na kuweza kujenga nyumba zao na kuwasomesha watoto wao CCM iliwanyanganya pesa zao za korosho na korosho kupitia Jeshi liliotumiwa vibaya na watu walioshiba kuwadhulumu wenye njaa.

Sasa Kusini wanaendelea kukataa suala la kuchaguliwa wabunge na upolepolepole na Ubashibashiru kutoka Rwanda.

Uliona wapi kuku akiuzwa sh. Laki moja.
Poleni kusini
 
Back
Top Bottom