Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Selemani Said Bungara 'Bwege' Ameyasema akizungumza na waandishi wa habari Manzese, jijini Dar es Salaam, Oktoba 18, 2025 amesema anakubaliana na hoja zote alizotoa Kapteni Tesha kwani ameongea yaleyale ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wanaharakati wa demokrasia pamoja na wananchi kwa ujumla.
Bwege ameongeza kuwa suala la Jeshi kuchukua nchi hakubaliani nalo kwani linakwenda kinyume na katika ya nchi
Bwege ameongeza kuwa suala la Jeshi kuchukua nchi hakubaliani nalo kwani linakwenda kinyume na katika ya nchi