Hawa wamevuta kitu cha ukerewe
Mkuu, kwahiyo hapo sio Tukuyu?
mkuu mimi sijasema hapo siyo tukuyu hebu imagine wewe ndyo unaogelea humo lazima uwe umepuliza cha ukerewe
Wapi Idimi?
hicho cha mwakaleli nami nimekitesti na nimo humo bqwawani
Nimecheka...
Tukuyu pia huko huwa kipo zaidi ya cha UK...huwa kinaitwa cha Mwakaleli!
unamaanisha wamekopi sio?