hahahamepatia wapi? mpaka ndoto ziisheHivi lema amepata dhamana? Ngoja kwanza.
Usingizie wapiga dili,ukweli uko palepale hana pesa za kuendeshea nchi kutokana na mfumo mbovu aloweka. Hakuna nidhamu ya kazi ni uoga unaondoa ufanisi wa kazi,hiyo bei ya korosho aliitangaza yeye mwenyewe,lakini reality ni kuwa hakuna ongezeko lolote la bei ni juzi tu wakulima Lindi wamegoma kuuza korosho zao kutokana na bei kuwa ndogo. We vipi? Acheni kujipendekezapendekeza,muwe wa kweli. Sasa hivi lugha imekuwa eti wapiga dili ndiyo hawana hela,uongo mtupu,hicho ni kichaka cha kujifichia.Kupanga ni kuchagua na uongozi ni kuonyesha njia. Kila Jambo Lazima Liwe Na Mahala Pa Kuanzia.
Tanzania Mpya Inakuja, Nenda TIC na BRELA ukaangalie idadi ya wawekezaji na makampuni yanavyomiminika.
Hasira Zenu Za Kukosa Upigaji Dili Na Kutumbuliwa Ziacheni Huko Huko Makwenu Kwa Wenza Wenu. Msituharibie Rais Wetu Kipenzi Anayetujali Wanyonge.
Amepandisha Bei Ya Korosho Na Pamba Haijawahi Kutokea. Amekuza Na Kuboresha Nidhamu Na Uwajibikaji Haijawi Kutokea. Viva Magufuli Viva!