ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 956
- 1,878
Aliambiwa/alishauriwa kodi ya VAT kwenye mizigo iendayo nje (Transit Goods) itakausha Bandari, badala yake akavunja Bodi ya Mapato.
Aliambiwa/alishauriwa kuwa, kuzuia kuingiza Sukari kutasababisha uhaba wa sukari, badala yake akawasingizia wafanyabiashara eti wameficha sukari.
Aliambiwa/alishauriwa afuate Katiba na sheria za nchi, badala yake akaleta Sheria ya Habari kandamizi.
Aliambiwa/alishauriwa azingatie Demokrasia ya Vyama vingi na Aheshimu mihimili ya dola, badala yake, akazuia Bunge live.
KUSIKILIZA USHAURI KUNAONGEZA BUSARA