Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 215
Si bure ni kalaana kabaya!:confused2:
..
Mama yao alikuwa akiwasapoti eti kwa sababu ya biashara. Nae amefariki mwaka jana. Hivi sasa wanaishi pamoja kama mume na mke. Jamani Wakuu hii mnaionaje?:crying:
Wakuu heshima mbele....
Jirani na ofisini kwetu, kuna bwana mmoja ana kampuni yake na ana wafanyakazi kadhaa anaowamiliki. Dada yake (wa mwisho kuzaliwa kwao) ni katibu muhtasi wake na ndio wenye kampuni hiyo..
Kibaya zaidi, hawa watu ni mwaka karibu wa 10 wanatembea (kumegana) Mwanamume ameachana na mke wake na wakagawana kila kitu mpaka nyumba! Watoto wake jamaa hataki hata kuwasikia na ni wakubwa (miaka 15 - 20) Baba yao alikuwa akipinga sana ujinga huu, lakini bahati mbaya alifariki miaka miwili iliyopita. Mama yao alikuwa akiwasapoti eti kwa sababu ya biashara. Nae amefariki mwaka jana. Hivi sasa wanaishi pamoja kama mume na mke. Jamani Wakuu hii mnaionaje?:crying:
Mmh! Kama mama alikuwa anasapoti.basi ndo mwenye siri ya biashara yao. Tatizo watu wengi wanafanya biashara kienyeji mno na kuweka ushirikina mbele kama ndo msingi wa kufanikiwa,ndo maana wengine wanaua mtoto wa kwanza au baba n.k. Hao ndugu wanastahili kushtakiwa kwa vile ni kosa la jinai kwa nugu wa damu kufanya tendo la ndoa.Kweli dunia tambala bovu!!
Pepo na liwatoke.Sodoma na Gomora.
Hii ni laana ya kutisha god forbid :confused2:
Kazi ya yule mwovu ni kuharibu tu. Naye siku zote anaanza kwa kufunga Malango. Mambo kama haya yanaweza kufunikwa kwa Damu ya Yesu tu.
Na ndugu zao wengine wanasemaje?I mean Kaka na dada zao waliozaliwa pamoja.Na huyo dada hana watoto?
Makubwa haya.God forbid.Wanatuletea mambo ya enzi za Adamu na Eva watu walipokuwa wachache.1.Tunaemwona anakuja ofisini kwao ni dada mmoja nafikiri ni mkubwa wa huyo mke fake!. Lakini huja once in a while. Karibu hii miaka miwili hajaonekana.
2. Huyo Dada hana watoto, na inavyoelekea, sijui kama ataolewa. Jamaa anambana sawasawa! kuna Kijana alikuwa anamzengea wanafanya kazi pamoja. Alifukuzwa kazi na kusingiziwa ni mwizi.