Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
kwani mwanamke anasemaje, anasema huyo ni mtoto wako au mtoto wa mwenza? nilisahau kuuliza swali hili. akisema mtoto wa jamaa, basi we kaza moyo, huyo si mwanao.
Mkuu hatakama atazaa mtoto mwinginwe hawezi kuziba pengo lilioachwa hasa kisaikologia!Tafuta mtu uzae nae, au ndo ushafanyiwa vasektomi?
Nilikuwa nikiishi na mwanamke kwa kipindi cha miaka miwili. Nilibahatika kupata naye mtoto. Tulikuwa hatujafunga ndoa.
Mtoto alipofikisha miaka miwili nilipata skolaship ya kwenda kusoma ughaibuni.
Masomo yalinigharimu muda wa miaka minne, niliporudi nyumbani nikakuta mwenzangu kisha olewa. Na huko alikoolewa ameenda na mwanangu.
Nimefanya kila jitihada za kumchukua imeshindikana, mume mwenza anadai mtoto ni wa kwake.
Naombeni msaada wa mawazo yenu waungwana
manyang'au ndo haya