Bwana mtenda miujiza....

duh kweli katenda...... kwa picha hii na kwa usiku huu na kabaridi haka weekend yangu itakua njema sana
 
dah! ingekuwa unaweza kuwadurufu (kuwaphotocopy), ningedurufu mmoja afu nikalipia na mahali nikaweka ndani.
 
Umeona JF ni mahali pa Kuonesha hivyo vipaja, huyo manzi ni wa kawaida sana Mkuu au we unamwonaje?
 
Atakua amekufunika huyo mtoto madamex..
 
duh kweli katenda...... kwa picha hii na kwa usiku huu na kabaridi haka weekend yangu itakua njema sana

Samahani wewe ni mpare? Maana nasikia mna uwezo wa kula ugali kwa picha ya samaki, ni kweli? Kama ni kweli basi nyie ni kiboko.
 
nilishatafuta sana njemba inayohusika na hizi update facebook leo nimegundua bana. Haha
Facebook
 
Naomba miwani, sioni muujiza wowote!

Hujaona lolote?! Basi huna budi kutumia vifuatavyo;
1. Vitunguu swaumu
2. Mbegu za Papai
3. Asali mbichi
4. Matango
Saga koroga vyote kwa pamoja kunjwa juice yake, meza machicha pia. Usiku vaa pampers!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…