Bwana Machache mweee jilie vyako Babu..

kama kawa kama dawa
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1370077876655.jpg
    40.9 KB · Views: 463
Binti kakaa nalo rohoni kaona basi, mwenzie mtu mzima madam Ritta alikuwa anambania huyu mzee halafu anajiangusha na vijana wadogo Zenji.
 
nilisoma kwenye wikipedia wanasema amezaa naye mapacha, hivi kweli?
 
haijatulia m2mzima kama yeye na hadhi yake haifai kuwa na mabinti ambao ni sawa na watoto wake
 
Who said money can't buy happiness?
Though it last for a while.
 
Jamani acheni jembe lile maisha kwani lilimtafutie nani? Mzee wa watu anajiheshimu, katafuta pesa kazipata mnataka azile vipi, kama mjane ama?

Hizo ndizo rewads za hardworking.
Angalia matajiri wengi duniani akina Beluscon, tajiri la chersea hii ndio hitimisho la starehe kuwa na mrembo mzuri by ur side.
 
Ha ha ha!
Ngojea wakue, wazipate na wajionee wemyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…