Bwana Kikwete, Lowassa hakuwa size yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bwana Kikwete, Lowassa hakuwa size yako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Julius Kaisari, Feb 7, 2011.

 1. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ukijaribu kutafakari kwa undani tabia na ujasiri+uthubutu wa Lowasa,bila shaka utajiridhisha kuwa kikwete hakustahili kuwa Boss wake.
  Ndiyo,hakustahili..Lowasa kwakiasi kikubwa hamezi maneno,anatenda,anatenda nini hili swali jingine. Mathalani, rais wa jamhuri,mwenye mamlaka,eti anaamua kuidhlumu nafsi yake kwa kusema UONGO,UNAFKI, ilimradi awafurahishe maswahiba,au ndo MABOSS wake. Ndiyo..ukiwa na mamlaka yote,then uwanyenyekee na kuwaogopa kundi fulan katika unaowaongoza,basi pas na Shaka kuna Boss wako kati yao. Eeh Kikwete,ni nani asiyejua mafungamano yako na Rostam? Kwanini unatufanya Raia wataz mazuzu?
  Anyway,nakupongeza kwa hili moja,nalo ni Kumchagua Pinda kuwa PM: NAKUPONGEZA KWA MANTIKI HII,NYOTE NI WANAFKI,WATU WA KULIALIA..
  Mwisho: Edward Lowasa alistahili awe BOSS WAKO..HUKUFAA WALA KUSTAHILI KUWA RAIS WA NCHI HII.
   
 2. m

  mpingomkavu Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  LOWASA tunakusubiri 1015 utukomboe anza kubadilika achana na tamaaa, mali ulizonazo zinakutosha,lakini familia ya kikwete usiipe uongozi wowote hata wa nyumba kumi
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  duu... mkuu mwaka gani huu tena ..haya bana
   
 4. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  mkuu huu mwaka kwa haupo? Labda jamaa ameona ukifika huo mwaka 1015 ndo nafasi yake...
   
 5. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  1015??? Miaka ya shetani hii ....:coffee:
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kaaazi kwelikweli... tutaona na kusikia mengi miaka hii michache ijayo
   
 7. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Fisadi List
  1. Mkapa
  2. Rostam
  3. Lowassa
  4. Kikwete
  5. Chenge (aka Vijisent)
  6. malizieni wanaJF
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu uko dunia gani?
  Lowasa hachaguliki kitaifa, sana sana hata 2005 aliingia madarakani kwa mgongo wa JK, yeye mwenyewe hana lugha ya kujieleza kitaifa.
  Tamaa kwa ndugu yetu huyu ni inbuilt , na haiwezi kuwa wished away!
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mimi nakubaliana na wewe kuwa katika CCM wote ni bora LOWASSA manake hana unafiki kama kukwapua wote wanakwapua ila LOWASSA KAZI ANAFANYA NA AMEIFANYA.
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  SASA WEWE TUAMBIE NANI KATI YA WEZI WA CCM ana uafadhali kama sio Lowassa?

   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ndiyo tumeanza kuyasikia but nahizi mkuu alitype vibaya. kwa utendaji na kutoumauma maneno - kati ya Lowasa na JK - I will go for Lowasa, hundred times. Tatizo la huyu masai, hapendi pesa ikatishe mbele yake, hata ile harufu tu.
  may be he had learned his lesson.
   
 12. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mimi najua mwizi mwizi awe mkubwa au mdogo mwizi hana sifa ya kuaminiwa kokote watanzania tukatae ushawishi wa kijinga kuongozwa na mwizi mdogo hakunaaaaaa ni bora kujiongoza kuliko kuwa na uongozi wa majizi , lowasa hakufaa hafai na hatafaa sifa ya uongozi ni pamoja na kuwa msafi muadilifu usiyekuwa na madoa kama ya kutuibia watz halafu ujifiche kwenye kichka cha uchapakzi katika kujilimbikizia mali za umma kwanza uchapakazi wake ulitucost kufanya misafara mirefu mpaka thailand kusaka mvua ya kutengeneza huku tayari ameshatumaliza kupitia RICHMOND H A T U K U T A K I
   
 13. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Unamaanisha LOWASA au LOW ASS?
   
 14. N

  Nanu JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lowassa is still the better choice for today's comparison!!!
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,707
  Trophy Points: 280
  Duu, hii kali kuliko
   
 16. c

  cray Senior Member

  #16
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 172
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi wana JF, ukilinganisha wakati wa Lowasa mwizi na fisadi na wakati huu wa Pinda, msafi asie mwizi na mtoto wa mkulima, yupi anafanya kazi yenye maslahi angalau kwa taifa hili. kwamaoni yangu nafikiri Lowasa, maana alikua anajisimamia, lakini huyu mfipa mkulima hakuna kitu. Yeye anafanya kwakulinda maslahi ya mafisadi, kwahiyo hata usafi wake unakua hauna maana. Mfano, alitangaza nia ya serikali yake kutotumia magari ya anasa, na akakataa gari mojawapo, lakini si kwamba magari hayo hayanunuliwi na srikali hiyihiyo, no yanaendelea kununuliwa, Je huu si uwendawazm? hatufai bola huyu mwizi tutamsema ataacha kuliko kuwa na mtu msafi afu ****...ooo
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hivi kumbe tunahesabu miaka kinyume nyume? Huu ni mwaka wa kidini ama?
   
 18. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,739
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280


  Usual crap! Hivi huwa nani anawatuma?
   
 19. D

  Do santos JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kazi kwelikweli, mshkaji unalipwa na EL bila shaka. Huoni hata aibu hivi hakuna wenye uwezo wa kuongoza ila huyu jamaa'ako
   
 20. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hivi CCM imeishiwa watu mpaka kila saa tuongelee ''Low ass'' muda wote, najisikia kutandika mtu bakora
   
Loading...