Bwana Kikwete, Lowassa hakuwa size yako

Yani kati ya watanzania wote zaidi ya milioni 40 wewe umeona mtu pekee ambaye hastahili kuwa chini ya Kikwete ni Lowassa tu?
Ni Lowassa yuleyule aliyedai mwakyembe kamuonea akatishiwa kuwekwa hadharani yote yaliyofichwa na tume kulinda heshima yake kama waziri mkuu akafyata mkia??
Ni bora kuongozwa na muoga kuliko kuliko jitu katili ambalo hujui limepanga nini.
 
Ukijaribu kutafakari kwa undani tabia na ujasiri+uthubutu wa Lowasa,bila shaka utajiridhisha kuwa kikwete hakustahili kuwa Boss wake.
Ndiyo,hakustahili..Lowasa kwakiasi kikubwa hamezi maneno,anatenda,anatenda nini hili swali jingine. Mathalani, rais wa jamhuri,mwenye mamlaka,eti anaamua kuidhlumu nafsi yake kwa kusema UONGO,UNAFKI, ilimradi awafurahishe maswahiba,au ndo MABOSS wake. Ndiyo..ukiwa na mamlaka yote,then uwanyenyekee na kuwaogopa kundi fulan katika unaowaongoza,basi pas na Shaka kuna Boss wako kati yao. Eeh Kikwete,ni nani asiyejua mafungamano yako na Rostam? Kwanini unatufanya Raia wataz mazuzu?
Anyway,nakupongeza kwa hili moja,nalo ni Kumchagua Pinda kuwa PM: NAKUPONGEZA KWA MANTIKI HII,NYOTE NI WANAFKI,WATU WA KULIALIA..
Mwisho: Edward Lowasa alistahili awe BOSS WAKO..HUKUFAA WALA KUSTAHILI KUWA RAIS WA NCHI HII.

Heshima mbele mkuu, kwa kweli naungana na wewe japo si moja kwa moja, ni kweli JMK hakustahili kuwa boss wa EL, bali ilitakiwa kuwa kinyume chake.ila ameshaharibu sana wapo wazuri sana wakutuongoza EL ameshaonja utamu wa ufisadi, hataacha ufisadi hata kidogo
 
LOWASA tunakusubiri 1015 utukomboe anza kubadilika achana na tamaaa, mali ulizonazo zinakutosha,lakini familia ya kikwete usiipe uongozi wowote hata wa nyumba kumi

Hapo kwenye red mbona ni zamani sana? Ni kama middle ages vile!
 
Umetumwaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! Sasa kwa mwaka huo sijui atakuwa bado hai? Ama kweli mtu wako hachaguliki ndo maana hata mikono yako imegoma!!!!!
 
Mkuu, huu mwaka 1015 ni kwa mjibu wa utabiri au? Na pengine kuna uwezekano wa kurudi nyuma? Kipindi hicho ni yapi majaaliwa ya JMT.
 
Hapo ndipo siasa zinapokuwa hazitabiriki.Lowassa ali fight kufa na kupona mpaka rafiki yake akaukwaa Urais huku akidhani kuwa angekuwa waziri mkuu kwa vipindi vyote viwili,nafasi ambayo ingemuweka pazuri sana naye kuukwaa Urais 2015.Lakini ndoto yake ikaanza kufifia kabla hata hajamaliza ngwe ya kwanza.
Nadhani sometimes huwa anajutia uamuzi wake wa kutopambana na Kikwete mwaka 2005
 
kwa akili hizi za kumuona EL ndiye anafaa kuongoza kweli watz tupo hapa tulipo kwa kupenda wenyewe.Imani yangu ni miujiza EL kuingia IKULU!
 
Back
Top Bottom