Iyo iko wazi hatuwadai na hakuna kesi, hujui nchi yetu imegubikwa na ufisadi wa kutisha ata kwa kipindi iki ni ujanja na umaarufu kufanya ufisadi , natumai wajua hakuna hata ripoti moja ya cag ilofanyiwa kazi iyo, majuzi mkurugenzi ikerege wa tbs madudu yake si umeona, imebidi yamefumbiwa macho kwani serikalini hakuna msafi hata inakuwa ngumu kumuwajibisha yeyote, maneno ya profesa mahalu umeyasikia akimtaja mkuu wa kaya kuwamo kt ile kesi yake ya ubalozi wa italia, ndugu nadhani dawa ni kubadilisha chama madarakani kwani ccm imekuwa noti mbele ndo na sera yao ni iyo, ni kwamba wezi wako bize wakiiba kila mtu kt ccm mwizi, tusahau mustakabali mwema under such magamba wa ccm pia mafisadi, pia wana arumeru watakaomchagua siyoi, wanadhani uyu siyoi kuna siku atahoji lolote juu ya fisadi el wakati kampa mwanae awe kiburudisho, zaidi naye ataanza kutuibia tu, jamani tuchukue hatua taifa linateketea