ndo hapo huyo mume mwenza atajua ilikuwa ndoto au mila na desturi!exactly...huyu dogo akisha balehe hakuna kitachho mzuia asiombe mzigo
atajiaminisha ni mali yake
hata kama ni harusi tu ya kimila...
wataoteshwa wengi naona hii trend ikiingia lol
na kimila za kiafrica mwanaume ni mfalme
so dogo atakuwa na sauti kwa huyu mama
lazima mama amtii....
Ndoa timilifu pia huusisha kufanya tendo lake-la ndoa (wa-consumate marriage) vinginevyo hiyo ni batili.hawa sex...huyo mama ana watoto na ana mume
but anadai kaoteshwa afunge ndoa na huyo mtoto
so ni ndoa tu ya harusi but no sex...
Mhhhhhhh katoto kadogo kanafaidi